Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni zero brain wa Mafia Boss Mbowe.Kuna wanao dhani ata vunja bunge, humu vihiyo niwengi sana mkuu
Anasoma bwana, kuna kifaa cha mabeberu hapo mbele kinaitwa teleprompter
Bore makofi meza inakelele sana sijui maumivu kama awapatiHivi ni lazima kupiga makofi jamani
😁😁😁😁 then ukimuamini Mama umemuamini JPM.Anapigilia msumari "Kuaminiwa na jeipiemu ndiyo kumenifanya niwe Rais wa Tz wakwanza mwanamke "
Makofi no aina Fulani ya Tabia ya kujipendekeza...Hivi ni lazima kupiga makofi jamani
Na jinsi anavyoongea anazungusha kichwa huku na huku kuangalia anaowahutubia ndio alinichanganya kabisa.Na mm natazama kwa makin pengine kuna ka ipad kwa mbele lkn sion mewan ikimulikwa na mwanga. Lkn itakuwa anasoma kuna sehemu wamemuwekea
Ukimaliza kubisha rudi darasani.Huwezi kuwa serious
Safi... Zenj ni uchumi wa bluuMeli 8
Zanzibar 4 Tanganyika 4 mmmh
Ni kweli, alikuaga na kauli zake nyingine sio sahihi hasa kwa wadhifa wake..wanakwambia mama huwa anajiandaa.
..yule mwingine alikuwa anakurupuka tu ndio maana wakati mwingine ilibidi atoe lugha zisizo na staha, kwa mfano kudhalilisha kinamama weupe.
Comment za wana genzi lkn assumption yangu HASOMINa jinsi anavyoongea anazungusha kichwa huku na huku kuangalia anaowahutubia ndio alinichanganya kabisa.
Kuna upande anaangalia mda mrefu ndio huo atakua anasoma
Asante mkuu, nilikua sifahamu hiloAnatumia teleprompter
Watoto hutumia bidhaa pia ambazo huongeza Kodi serikalini indirectly.Mama aanza kuonyesha uchanga wake kwenye uchumi, anasema Tanzania ina walipakodi 60m; hata watoto (minor) wapo kwenye uwigo wa kulipa kodi?
Watachoka wenyeweHivi ni lazima kupiga makofi jamani