Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Kuna wanao dhani ata vunja bunge, humu vihiyo niwengi sana mkuu
Hao ni zero brain wa Mafia Boss Mbowe.

Wanataka avunje bunge, mara afukuze Majaliwa, mara afukuze Dotto James, mara afukuze nani sijui. Ukiwauliza makosa yao, hawana majibu eti maria sarungi kasema, sijui fatuma karume kasema ama kigogo kasema. Hawa ndio wanaomba Lissu awe rai awateue kwenye nafasi za uongozi nchi hii.
 
Body language ya huyu kinara wa graduate wa darasa la saba mbona ni mjeuri ivi
 
Na mm natazama kwa makin pengine kuna ka ipad kwa mbele lkn sion mewan ikimulikwa na mwanga. Lkn itakuwa anasoma kuna sehemu wamemuwekea
Na jinsi anavyoongea anazungusha kichwa huku na huku kuangalia anaowahutubia ndio alinichanganya kabisa.
Kuna upande anaangalia mda mrefu ndio huo atakua anasoma
 
..wanakwambia mama huwa anajiandaa.

..yule mwingine alikuwa anakurupuka tu ndio maana wakati mwingine ilibidi atoe lugha zisizo na staha, kwa mfano kudhalilisha kinamama weupe.
Ni kweli, alikuaga na kauli zake nyingine sio sahihi hasa kwa wadhifa wake
 
Miundo mbinu ya usafiri itasaidia kufikia malengo katika sekta zote
 
Mama aanza kuonyesha uchanga wake kwenye uchumi, anasema Tanzania ina walipakodi 60m; hata watoto (minor) wapo kwenye uwigo wa kulipa kodi?
Watoto hutumia bidhaa pia ambazo huongeza Kodi serikalini indirectly.
 
Hivi ni wakati gani RAISI humpa heshima jaji mkuuu kwa kumwita mheshimiwa kama ilivyo kwa spika awapo bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…