Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Mliotamani SGR Mwanza -Isaka isitishwe kazi mnayo....
#Kazi Indeleee

..tunataka Makutupora -- Isaka nayo ijengwe.

..Mwanza--Isaka inalalamikiwa kwasababu hatujahakikishiwa " connection " na kipande kingine cha sgr.
 
Rais Mama Samia akiongea na Wabunge na kuongelea Maazimio ya Serikali ya Awamu yake.

KILIMO: amezungumzia kwa kiwango kizuri maazimio
~Kuongeza mavuno
~Uzalishaji Mbegu bora
~Masoko
~ Mikopo na Bima ya Kilimo


VIWANDA: Kuongeza uzalishaji ili kuongeza idadi ya uhitaji wa malighafi na kufufua Viwanda vilivokufa

UTALII: kuanzisha vyanzo vipya vya Utalii na kuboresha miundombinu ya vivutio vya Utalii.

Kwa hizi sekta 3 tu serikali inahitaji kuwa na vyanzo vikubwa vya mapato, sioni kama itawezekana kwa namna mfumo wetu ulivo.


Haya Machache
 
Leo watajisaidia kitandani hii hotuba inawachoma sana na kunawatu wamezima tiv wameingia chumbani kulia saizi.😂😂😂😂😂
Watajinyea.

Leo mama amewaziba mdomo qumamae zao.

Ngoja tusubiri uone baadae watatukana kwenye mitandao balaa.
 
Kuna technology inaitwa autocue au teleprompter ndio inayotumika. Huwezi kujua kirahisi kama anasoma maana unaona amefocus kwenye lens ya camera.
Ni ngumu sana kuona kwakweli, nishazoea mtu anasoma kwa makaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…