guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
twende kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuwaje Mkuu?Mliotamani SGR Mwanza -Isaka isitishwe kazi mnayo....
#Kazi Indeleee
Mashikolo mageni haya, nilikua sifahamuKuna kitu kinaitwa autocue.
Kuna technology inaitwa autocue au teleprompter ndio inayotumika. Huwezi kujua kirahisi kama anasoma maana unaona amefocus kwenye lens ya camera.Ndio nimeona hilo saivi baada ya kumfatilia kwa makini.
Unajua nilishangaa amewezaje kupangilia hotuba yote hiyo kichwani
Mliotamani SGR Mwanza -Isaka isitishwe kazi mnayo....
#Kazi Indeleee
Kitaumana soonMkurugenzi ATCL na wenzake waanze kukaa mguu sawa
Watajinyea.Leo watajisaidia kitandani hii hotuba inawachoma sana na kunawatu wamezima tiv wameingia chumbani kulia saizi.😂😂😂😂😂
Ni ngumu sana kuona kwakweli, nishazoea mtu anasoma kwa makaratasiKuna technology inaitwa autocue au teleprompter ndio inayotumika. Huwezi kujua kirahisi kama anasoma maana unaona amefocus kwenye lens ya camera.
Anasoma hapaNdio nimeona hilo saivi baada ya kumfatilia kwa makini.
Unajua nilishangaa amewezaje kupangilia hotuba yote hiyo kichwani
Anatumia teleprompter zipo mbili kushoto na kuliaNaangalia kwa makini sioni akiinamisha kichwa kusoma, kama kakariri basi mama yuko vizuri
Mtoto una jambio weye balaa!Atavunja bunge leo
Zilishasainiwa kule Chato,wanareview na kusaini upya tena mkataba?Wanaanza Upyaaaaaa...
Soon contract zinasainiwa ujenzi uanze.
Kwani huzijui teleprompter?Ni ngumu sana kuona kwakweli, nishazoea mtu anasoma kwa makaratasi
Wabongo tunajua kiswahili lakini mama is much more nimetoka na msamiati mpya