Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Kumbe Ni watu wawili tofautiMimi ni Magufuli ni mtu mmoja [emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Ni watu wawili tofautiMimi ni Magufuli ni mtu mmoja [emoji28][emoji28][emoji28]
Mtahamisha magoli sana...tunataka Makutupora -- Isaka nayo ijengwe.
..Mwanza--Isaka inalalamikiwa kwasababu hatujahakikishiwa " connection " na kipande kingine cha sgr.
Asante sanaHongera kujifunza kitu kipya..
Mimi nilijifunzia hiki kitu kwenye muvi around 2016 huko
Kwahio hayati arudi?Hotuba ya Rais inayosomwa leo Bungeni imepoa sana tayari lisaa limepita kila nacho sikiliza hakina strike , naona kazi iendelee tu , napata picha kuwa hayati Magufuli ataendelea kuishi sana kwa watanzania kutokana na aliyoyafanya.......mana asilimia 98 ya hotuba yote mpaka sasa ni yale aliyoyafanya Hayati JPM , neno kuu katika hotuba ya leo ni kuwa tutaendeleza mradi A,B,C........ kazi iendeleee tu....
Mwambie Gwajima Amfufue!Bora ya jpm tutarudi kwa ya jk kabisa. Mshahara tarehe 40 itakuwa kitu cha kawaida
So wat?CCM ni ile ile
"Mshahara tarehe 40"Bora ya jpm tutarudi kwa ya jk kabisa. Mshahara tarehe 40 itakuwa kitu cha kawaida
Mama keshasema kuhusu katiba mpya msubiri kwanza,mbona mnapapara?Hakuna cha mchakato wa Katiba mpya?
Kama alivyofanya mwendasake Naamini Mama ataondoa baadhi na kuingiza, kushusha na kupandisha baadhi Katika Utumishi wa umma Ila, tofauti na Mwendasake, yote Mama yetu atayafanya kwa mujibu wa sheria na kanuni za Utumishi wa umma na si kiuonevu na kwa kuvunja sheria Kama mwendasakeHao ni zero brain wa Mafia Boss Mbowe.
Wanataka avunje bunge, mara afukuze Majaliwa, mara afukuze Dotto James, mara afukuze nani sijui. Ukiwauliza makosa yao, hawana majibu eti maria sarungi kasema, sijui fatuma karume kasema ama kigogo kasema. Hawa ndio wanaomba Lissu awe rai awateue kwenye nafasi za uongozi nchi hii.
Zingatia aina ya wabunge waliopo mjengini elimu,elimuHawa wabunge ni kero, wanashangilia sana.