Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

nina tatizo moja kubwa sana; mtu ninayemheshimu na kumtumainia sana huwa sina uwezo wa kuendelea kuwa mbele yake pale ninapoona kuna kisichokweli au kisichowezekana anakiongea mbele yangu......inanibidi nitoke tu kumpisha ili nisipate nafasi ya kumbishia au kuwasikia wanaombishia au kumkandia maana nakuwa kwenye wakati mgumu kuvumilia.

namheshimu na kumpenda mno mama samia kiukweli na nilijiandaa kikamilifu kumsikiliza mwanzo mwisho. zilipoanza habari za kumaliza ufugaji wa kuhamahama sijui, mara sijui viwanda, KUTOSHURUTISHA ulipaji kodi nikaona ohoooooo, imeshakuwa tabu sasa na nikaondoka tu eneo la tukio ili niendelee kumsapoti mama yangu kwakuwa maneno hayo nilishayasikia sana kipindi cha kikwete na magufuli na matokeo yake tuliyaona.......bado tupo mlemle na katika yale yale, M/Mungu msaidie mama yangu huyu, natamani aache alama ya kipekee km alivyo pekee katika nafasi ya uraisi kwa mwanamke!!!
 
Hivi lile somo letu pendwa la historia yetu kuanzia darasa kwanza hadi kidato cha sita imekuwaje mbona kimya mpk sasa?! Au lilizikwa na mwendazake
Nyie moderators ni wapumbavu kila uzi mnafuta ngoja nihamie twitter ni waache na legacy yenu ya magufuli
 
matumaini ya kulazimisha uvaaji wa barakoa yamekufa au kufifia rasmi. Mama Samia hajavaa,wabunge woote hawajavaa. JK kamalizia kabisa maana kila kona alikua na barakoa ila leo hana
Team Barakoa wamefanyaje tena?😂😂😂
 
Hotuba ya Rais inayosomwa leo Bungeni imepoa sana tayari lisaa limepita kila nacho sikiliza hakina strike , naona kazi iendelee tu , napata picha kuwa hayati Magufuli ataendelea kuishi sana kwa watanzania kutokana na aliyoyafanya.......mana asilimia 98 ya hotuba yote mpaka sasa ni yale aliyoyafanya Hayati JPM , neno kuu katika hotuba ya leo ni kuwa tutaendeleza mradi A,B,C........ kazi iendeleee tu....
Kwan hukumsikia aliponsema ya kuwa SSH na JPM ni kitu hiki ☝️
 
Tutateua wanawake wengi zaidi ktk ngazi mbalimbali za uongozi kulingana na sifa na vigezo
 
Back
Top Bottom