Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

..tunataka Makutupora -- Isaka nayo ijengwe.

..Mwanza--Isaka inalalamikiwa kwasababu hatujahakikishiwa " connection " na kipande kingine cha sgr.
Mtahamisha magoli sana.
 
Kwahio hayati arudi?
 
Kwa kuonesha kutoridhishwa na usimamizi na uendeshaji wa miradi ya Maji nchini.

Rais Mama Samia Suluhu ametangaza anakwenda kufanya mabadiliko makubwa kwa Mainjinia wa Maji nchi nzima.
 
Kama alivyofanya mwendasake Naamini Mama ataondoa baadhi na kuingiza, kushusha na kupandisha baadhi Katika Utumishi wa umma Ila, tofauti na Mwendasake, yote Mama yetu atayafanya kwa mujibu wa sheria na kanuni za Utumishi wa umma na si kiuonevu na kwa kuvunja sheria Kama mwendasake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…