Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Wanajua kweli kucheza na akili za watu, kuhusu demokrasia anasema lazima wafuate sheria, kwamba hakuna demokrasia isiyo na mipaka, sasa badala aruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwasababu ipo kisheria, anadai atakutana na viongozi wa vyama vya siasa.
 
Wanajua kweli kucheza na akili za watu, kuhusu demokrasia anasema lazima wafuate sheria, hakuna demokrasia isiyo na mipaka, sasa badala aruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwasababu ipo kisheria, anadai atakutana na viongozi wa vyama vya siasa.

Wanakutana ili wayajengee
 
Hapo kwenye nidhamu na uwajibikaji katika ofisi za umma wapatilie mkazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…