Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Wapinzani wanazidi tu kupotezwa, sijui mwaka 2025 watakuja na sera gani!!
Hata sera za 2015 nazo zilizalishwa na awamu ya TANO... hivyo hata 2021 na kuendelea, swami husika itatengeneza sera automatically
 
Wanatamani sana mama awatoe Covid 19 ndani ya Bunge,Bavicha yani watasubiri sana hawa Nyumbu.
Dah uvccm jaman!!!! Kwa hiyo wakiwepo ndani ya bunge kula Kodi za waNanchi kinyume Cha katiba ninyi ndo inawafurahisha?!!! Hivi maccm Ni kwa Nini vitu vya kuvunja katiba na sheria za nchi mwavishadidia Sana?!!! Hamuwez kuishi kwa haki bila dhuluma?!!!!
 
Kuna watu wanajitokeza huko mitandaoni kuwa fulani na fulani ndiyo walimpa sumu jeipiemu, waje watoe ushahidi waache kuleta uchonganishi kwa koo, kabila etc au warudi kwa Mungu
 
Hizi mbinu zinatumiwa na akili kubwa na sio mainjinia
 
Mama ameligusia na hili ameasa kama wana vithibiti wapeleke watasikilizwa vinginevyo waache uchochezi si vizuri na pia ameshauri warejee kwa Mungu
 
Magufuli wakati naye anaingia alihutubia bunge kwa hotuba inayofanana na hii!!
Sasa Tusubiri matendo tu!SIASA ZIMEKUWA SIHASA🤓🤓.

Tuna Imani na mama SSH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…