Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Sio rahisi, ukiruhusu uhuru wa vyombo vya habari ni rahisi ku contaminate minds za watanzania and the impact may be worse. Wengi wetu sisi ni easy believe. Ni vema kuwa na circle ndogo ya watu ambao wako exposed na poison za dirty politicians.

..hata circle ndogo kama aliyokuwa nayo magufuli inaweza ku contaminate taifa.

..infact naweza kusema magufuli aliwadanganya na kuwagawa Watz kwa kutumia genge lake la watu wachache.

..Tukiwa na uhuru wa vyombo vya habari sio rahisi kuwalaghai na kuwapumbaza wananchi.
 
Sijui bado anamuogopa Bashiru

Mwacheni Rais Samia Suluhu Hassan achape kazi. Yeye ndio rais analiona taifa katika mtazamo wa juu zaidi ya mnavyofikiri na kuona

Na tuendelee kumshukuru Mungu kwaajili ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli

Na tuseme asante kwa John Pombe Magufuli kwa kutuachia Ironlady Samia Suluhu Hassan


Ameondoka JPM wamezaliwa JPMs wa kutosha mama akiwa kiongozi wao

Kazi iendelee😍🇹🇿🙏
 
Kwaiyo wewe Bunge hili live la CCM tupu ndo unaona wazo lenu limetekelezwa,kwa hili Bunge la CCM watupu?
Basi kazi hipo!!.
Kwani mlivyokua mnaiba kura na kufanya uhaini kwenye uchaguzi lengo lenu lilikua nini?

Hii nchi inaendeshwa kwa katiba hakuna sheria inayo ruhusu mbunge aliyetimuliwa na chama kuendeleza mitikasi ya bunge. Hili swala litakuja kuwa solved tu
 
Sounds like tindo.
 
Mbona kama unang'ang'aniza tutumie umoja..sema asante mwenyeweeee💃
 
Ungesema umetukamwa wewe kwa kuitwa mnyonge sio kusema tumetukwnwa kuitwa wanyonge, mmetukanwa wewe na nani?

Watu wenye akili tukiona kwenye sentensi mtu ametumia neno jumuishi(generalization) term tunajua kabisa huyu akili hana, ni taahira.
Au sindio?
 
Samia anatakiwa awe mkali tu, naona ameona ukicheka cheka nchi hii haisongi, ni kama kashituka mapema au wamemwambia ndugu hii nchi ukianza kuwaambia watu watu NAWAOMBENI hatufuki, yaani unamuomba mtu au mfanya biashara kodi unategemea nini? sasa kawa kwenye reli kuwa hata wale wafanya biashara waliokuwa wamenyooka wamerudi hatua nyuma tena, nchi huwezi kuiongoza kama kipindi kile cha mzee yetu mpendwa kutoka Msoga, Magufuli aliiweza hii nchi kuwa serious na kazi na kukusanya kodi stahiki na kuzipeleka katika miradi ya maendeleo, leo uanze kusema TUNAWAOMBA nani atakusikiliza, very good ameshituka mapema.
 
wafanyakazi mmesikia hiyooo? tarehe moja mei/meimosi tegeni masikio yenu.
 
Naamewaambia JPM ameondoka pekeake fikra na maonoyake bado yanafanya kazi kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…