Sio rahisi, ukiruhusu uhuru wa vyombo vya habari ni rahisi ku contaminate minds za watanzania and the impact may be worse. Wengi wetu sisi ni easy believe. Ni vema kuwa na circle ndogo ya watu ambao wako exposed na poison za dirty politicians.
..hata circle ndogo kama aliyokuwa nayo magufuli inaweza ku contaminate taifa.
..infact naweza kusema magufuli aliwadanganya na kuwagawa Watz kwa kutumia genge lake la watu wachache.
..Tukiwa na uhuru wa vyombo vya habari sio rahisi kuwalaghai na kuwapumbaza wananchi.