Hivi mlikuwa serious kusubiria hili jambo angejihusisha nalo??
Hawezi kuifanyia embarrassment ya aina hiyo CCM ambayo ni chama chake na hasa kama anataka kipindi cha pili.
God is faithful!Mungu anaipenda sana Tanzania.
Mungu kumbe ukimuomba anajibu hata kwa wakati
Siamini kama leo tupo huru tena ndani ya nchi yetu....
Hakika Mungu ashukuliwe na liwe funzo kwa manyang'au wote waliotaka kutupeleka kusiko.
"I Love this country".
Hizo nchi ulizotaja zipo level moja na Tanzania? Taja nchi za africa ambazo tunafanana uchumi..
Yaani walivyo wavivu hata kupiga makofi hawawezi!Hivi hawa wabunge kuna wanachojua zaidi ya kupiga meza?
Thubutu! Kugonga meza ni rahisi kuliko kupiga makofi. Mavivu sanaMikono ya Wabunge wa CCM baada ya hotuba.View attachment 1760512
Ni jambo jema!
Rais Samia atatuvusha kuifikia nchi ya asali na maziwa tumpe ushirikiano.
Subira huvuta kheri! Mda upo mwingi Sana....c ameingia juzi tuMama uwezo mdogo sana, maneno mengi mpaka sasa hatujaona lolote jipya.
Ataloweza labda ilo kurudisha siasa za upinzani.
Kama unateseka vile......!!!!Nawaonya wale wote wanaodhani kuondoka kwa jeipiemu kutakuwa hakuna usimamizi wa mali za umma, uzembe, wizi...nataka niseme hayati amekwenda peke yake, maono yake tunaendelea kuyafanyia kazi.....
Njemba inakuwaga na machungu hii....Mambo ya ajabu sana. Katiba imembeba kuingia Ikulu lakini yeye kashindwa kuiheshimu ili kuwaondoa hao COVID-19!!! Mambo ya ajabu sana ya kuchagua vipengele vya katiba ambavyo vinamfagilia yeye lakini kuvidharau vile ambavyo vinasimamia maslahi ya Watanzania (walipa kodi)
No ...it is 94 percent against 6 percentTuko wengi 84% ya watanzani
Nyie 16% njoeni tujenge nchi