Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
DuuHalafu kasema toka Magu afariki kuna watu wameanza kuiba.
Amechukua hatua gani?
Huo ni mwanzo mzuriWenye akili fupi wanasema Tz mpya inazaliwa!!?
wakati swala la katiba mpya na tume huru bado kitendawili.....kuna watu uono wao ni hafifu
Yaani ulitegemea nini in such a short time.Halafu unataka kila linalofanywa uambiwe,who are you.Acha ujinga wewe.Ridicule,ridicule,ridicule what is wrong with you.Come on, come to your senses.Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais
Mama yetu ningependa kukushauri acha maneno mengi fanya kazi wanaokupongeza kwa hotuba hao ni wanafiki. Tena katika Hotuba yako ya leo kuna moja walilokuwa Wanasubiri nalo ni wewe kusema utakutana na Viongozi wa vyama vya kisiasa ilo ndilo hitaji lao maana Twitter leo ni kama hamna watu vile ipo kimya wapo Bize wanaanda suti za kuja Ikulu.
Wewe ndo una fikra finyu..maama atayafanya yote haya ni stepsuna fikra finyu...
Mtarudi hapa 2025 mambo ni yale yaleHuo ni mwanzo mzuri
Kama ana chuki muache aendelee na funga Ramadhani ndiyo tiba yenyewe!We jamaa umefunga Ramadhani? Kama umefunga kwa chuki hizo kwa ndugu zako wa kitanzania kunywa tu maji hakuna ulichofunga
Yaani hata voda tu wamegoma mm acha niwe thomaso kwanza.Mama uwezo mdogo sana, maneno mengi mpaka sasa hatujaona lolote jipya.
Ataloweza labda ilo kurudisha siasa za upinzani.
Hahahaaaa....... Kazi Iendelee bwashee!Pole MATAGA utazoea tu maisha ya uyatima piga moyo Konde! Au nasema uongo ndugu zangu?
Wapinzani wakamshauri mama kwamba tunahitaji serikali tatu. Tuwe na Rais wa Muungano, Rais wa Tanganyika na Rais wa Zanzibar.Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais
Mama yetu ningependa kukushauri acha maneno mengi fanya kazi wanaokupongeza kwa hotuba hao ni wanafiki. Tena katika Hotuba yako ya leo kuna moja walilokuwa Wanasubiri nalo ni wewe kusema utakutana na Viongozi wa vyama vya kisiasa ilo ndilo hitaji lao maana Twitter leo ni kama hamna watu vile ipo kimya wapo Bize wanaanda suti za kuja Ikulu.