Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Wewe jamaa!

Yaani hapo ni namba 5 na 9 tu ndo sijazisikia/ona, na kilichonishangaza zaidi ni namna alivyotambaa na mtiririko wako. Hongera
 
Mama anatia moyo sana.


NAOMBA Mungu umlinde na kumtetea Mh Rais mama Samia. Rais ni no 1 comforter katika nchi. Hatutaki mioyo ya kikatili, tunataka mioyo laini iliyojaa upendo kama wa mama yetu.


JESUS IS LORD!
 
Kabisa! Leo kaanza kulalamika eti kuna taasisi zimeanza kuiba pesa. Cha ajabu hakuna hatua zozote alizochukua.
 
Asante Mh Rais Samia, hotuba ni nzuri.(kwa andiko hilo). Sasa Ngoja nipate wasaa ili niisikilize na kutafakari kwa uzuri zaidi
 
Ana maneno mengi kama ya JK—yanapoza huku nyuma tembo wetu wanamalizwa.
Halafu suala la Katiba mpya wanaliogopa kama ukoma enzi za agano la kale na jipya katika biblia. Hakuna jipya, tutabembelezwa kwa maneno mengi na lugha tamu.
Mmeng'ang'ana na katiba kwamba ni suluhisho kuna sheria muhimu dunia kama vitabu vitakatifu pmj na uwepo wa sheria toka kwenye biblia na quruhani lakini watu hawaachi kuzivunja,kwa kifupi katiba sio suluhisho la mwisho wa matatizo ipo misingi ya kiutu inayotakiwa kufuatwa.
 
Kweli mzee... tena akajikabidhi kabisa na miongoni mwa majina ya MwenyeziMungu likiwemo lile la 55 lenye maana ya "asiyetetereka"
 

Mkuu nilijua ni mimi peke yangu niliyesikia yale yale ya kale! Utapopomwa hapa but ukweli ni kwamba talkers are not good doers at all! Time will tell Let us wait and see!
 
Kwani mlivyokua mnaiba kura na kufanya uhaini kwenye uchaguzi lengo lenu lilikua nini?

Hii nchi inaendeshwa kwa katiba hakuna sheria inayo ruhusu mbunge aliyetimuliwa na chama kuendeleza mitikasi ya bunge. Hili swala litakuja kuwa solved tu
Kuwa solved kwa hawa Covid 19 lini sasa,mtu wa mwisho ambae ni Rais kapiga kimya?
Alafu akuna mtu aliiba kura chif kila kituo kilikua na wakala,kama wakala alifika price tag basi hiyo ni udhaifu wa wakala,kila mgombea ama chama kinataka ushindi,pahala utakapo legea ndo hapo mpinzani wako atapitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…