MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Manake una kiri kutotoa haki ni utaratibu mliojiwekea?Mtarudi hapa 2025 mambo ni yale yale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manake una kiri kutotoa haki ni utaratibu mliojiwekea?Mtarudi hapa 2025 mambo ni yale yale
Maneno mawili tu ushavua qupy....Wewe ndo una fikra finyu..maama atayafanya yote haya ni steps
Fikro zako fupi sana ww....Wewe ndo una fikra finyu..maama atayafanya yote haya ni steps
Kabisa! Leo kaanza kulalamika eti kuna taasisi zimeanza kuiba pesa. Cha ajabu hakuna hatua zozote alizochukua.Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais
Mama yetu ningependa kukushauri acha maneno mengi fanya kazi wanaokupongeza kwa hotuba hao ni wanafiki. Tena katika Hotuba yako ya leo kuna moja walilokuwa Wanasubiri nalo ni wewe kusema utakutana na Viongozi wa vyama vya kisiasa ilo ndilo hitaji lao maana Twitter leo ni kama hamna watu vile ipo kimya wapo Bize wanaanda suti za kuja Ikulu.
Mmeng'ang'ana na katiba kwamba ni suluhisho kuna sheria muhimu dunia kama vitabu vitakatifu pmj na uwepo wa sheria toka kwenye biblia na quruhani lakini watu hawaachi kuzivunja,kwa kifupi katiba sio suluhisho la mwisho wa matatizo ipo misingi ya kiutu inayotakiwa kufuatwa.Ana maneno mengi kama ya JK—yanapoza huku nyuma tembo wetu wanamalizwa.
Halafu suala la Katiba mpya wanaliogopa kama ukoma enzi za agano la kale na jipya katika biblia. Hakuna jipya, tutabembelezwa kwa maneno mengi na lugha tamu.
Kweli mzee... tena akajikabidhi kabisa na miongoni mwa majina ya MwenyeziMungu likiwemo lile la 55 lenye maana ya "asiyetetereka"..wananchi hawawezi kuamini Jpm amekufa kwa matatizo ya moyo wakati walimshuhudia akipiga push-up utafikiri ni mkufunzi wa karate na judo.
..wangeambiwa tangu mwanzo raisi wao ana matatizo ya moyo ingekuwa rahisi kuelewa kilichomtokea.
..kwa sasa hivi ni rahisi zaidi kuamini habari za uzushi kuliko taarifa za serikali kuhusu kilichomuondoa Jpm.
Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais
Mama yetu ningependa kukushauri acha maneno mengi fanya kazi wanaokupongeza kwa hotuba hao ni wanafiki. Tena katika Hotuba yako ya leo kuna moja walilokuwa Wanasubiri nalo ni wewe kusema utakutana na Viongozi wa vyama vya kisiasa ilo ndilo hitaji lao maana Twitter leo ni kama hamna watu vile ipo kimya wapo Bize wanaanda suti za kuja Ikulu.
Lini CCM inagawanyika?Tanzania inafufuka Thanks God!
Naendaga na mamako mzazi...mxiewManeno mawili tu ushavua qupy....
una tofauti ipi na maagoti !!?
Kuwa solved kwa hawa Covid 19 lini sasa,mtu wa mwisho ambae ni Rais kapiga kimya?Kwani mlivyokua mnaiba kura na kufanya uhaini kwenye uchaguzi lengo lenu lilikua nini?
Hii nchi inaendeshwa kwa katiba hakuna sheria inayo ruhusu mbunge aliyetimuliwa na chama kuendeleza mitikasi ya bunge. Hili swala litakuja kuwa solved tu
Awatoe tu kama itakua ni hukumu ya hakiAnataka kuwatoa masheikh tu sema anatafuta njia hiyo anashindwa huyu mama
Dont be fooled b y her female status...she is after all a politician!Wewe ndo una fikra finyu..maama atayafanya yote haya ni steps
Naelewa sana mkuu lakini ana utofauti na MwendazakeDont be fooled b y her female status...she is after all a politician!