Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais...
Kwani ahadi zinatekelezwa kwa wiki wiki?? Muda ukifika tutaona lakini sio kulaumu hata muda bado..
 
Mbona Umepiga U-TURN mapema sana?
Umeachana na mahaba yako kwa Mwendazake?

Week 3 zilizopita wewe ulikuwa mpinzani wa sera za mama, ghafla leo unazishabikia sera zilezile ulizokuwa unaziponda.

Mataga bana....
Weredi mkubwa waliofanikiwa CCM ni kuwaweka wanachama na wapenzi wa chama pamoja pale panapotokea migongano ndani chama na serikali,kwa hili CCM wamebobea mno.

Wewe kaa usubiri Meli kituo cha mwendo kasi.

Wembe ni uleule kwasasa unataka upande wa pili kazi iendelee.

Mungu mbariki Rais Samia.
 
Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais...
Kwani ulitarajia maajabu gani ambayo angeyafanya kwa mwezi mmoja?
 
Wewe mwenyewe umekiri kwamba mitandao mitatu imetii, sasa unataka tuwachape viboko labda!

Binadamu hatuna wema kila tunalofanyiwa tunatafuta kosa na kulikuza. Hiyo amri imetoka lini na mpaka sasa utadhani labda imepita miaka haijatekelezwa..
 
Lakini nikizikumbuka enzi za MAGU,naona Mara 100 MAMA hata akivurunda hatafkia nusu ya Magu
 
Anajua kabisa Kuna watu wanaiba alafu wizi wao unakua sehem ya maongez badala ya maamuz yani fulan kaiba kuku wangu Kala supu Leo alafu unampotezea what next?

Exactly my point, alitakiwa atuambie kuna hawa na hawa wamechukuliwa hatua hizi na hizi kwa sababu ya wizi.

Au kuzidirect mamlaka husika kuwachukulia hatua na si kulalamika. Kulalamika atuachie sisi.
 
Njia pekee ya wao kuondoka ni waliowaweka kuamua kuwaondoa, mahakama kusitisha ubunge wao au Spika kuamua kuwaondoa.
Hii Nchi ni ya Watanzania wote si ya maccm wala ya Samia ni LAZIMA Katiba IHESHIMIWE ili kuzuia huu wizi wa zaidi ya bilioni 3.6 roughly kwa mwaka
 
Tuna mengi tunataka kuyasikia:

1. Kodi zinazozingatia hali halisi ya biashara....
Yote hayo mama kayasema hivi mnasikiliza hotuba mkiwa mnawaza nini mbona unakichwa kama panzi jike.
 
Unataka afanye nn kwenye COVID 19? au unataka akuletee dawa za kukukinga na covid au unataka atuweke lock down, acha umaskini wa fikra.
 
Mifumo baba mifumo,kama mifumo ni helihile basi endelea kusubiri kuokota Dodo chini ya mnazi.
 
Tuombee uhai wa Magu? Kwani kafufuka?

Au na mimi nimekufa kama mkuu wa mkoa wa Mbeya?

Asprin jamani wapi tena nimesema hayo?
Tuendelee kumshukuru Mungu kwaajili ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli
Tunamshukuru kwaajili ya Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…