Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Ilikufa lini?Tanzania inafufuka Thanks God!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikufa lini?Tanzania inafufuka Thanks God!
AminaWana JF,
Kama mlivyomsikia mama anaomba mahakama itoe hukumu za haki.
Haki kwa mujibu wa sheria. Mungu aendelee kukutunza mama yetu.
Nimemaliza.
Kama hayo ndiyo ya msingi kwako kuliko Maji, umeme, kodi, maslahi ya watumishi, atcl na elimu basi akili yako INA tatizoJana RAIS alipozungumzia KUKUTANA na WAPINZANI ili kurudisha DEMOKRASIA, makofi yalikuwa MACHACHE sana BUNGENI... SABABU inajulikana, WABUNGE wote wa sasa ni matokeo ya UBAKAJI mkubwa wa demokrasia kwenye awamu ya TANO
Point nzito za Rais ambazo hazikupigiwa Vigelegele Bungeni 1. Kuhusu Democracy, Umoja ,Haki na uhuru 2. Kutaka watu wamkosoe bila woga . 3. Kutaka Bunge kujadili mambo ya msingi.
[emoji1787][emoji1787]Wakulima wa tz mateso matupu wanazungumziwa kila siku lakini hawafikiwi.