HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

Nilisoma namna hiyo pia, sema kwa vile wengine sio tech gurus ni ngumu kujenga hoja. NVIDIA hajapata mshindani bado, ascend ana safari ndefu sana.
 
Nilisoma namna hiyo pia, sema kwa vile wengine sio tech gurus ni ngumu kujenga hoja. NVIDIA hajapata mshindani bado, ascend ana safari ndefu sana.
Mimi hata Sio mdau wa Usa, ila huo ndio ukweli, mwaka 2019 Nvidia value yake ni $89B tu, from 89B mpaka 3 trillion Dollar ndani ya miaka 5 sio mchezo,

Kifupi mkuu wote Makampuni ya Usa na ya China Yalikua yamelala wakati Nvidia anaanza AI baada ya Nvidia kutoboa wengine ndio wanaanza kuamka nao ila ndio too late.

AI hardware ni kubwa mno zinataka Manufacturing process zenye yield za kutosha, ambapo kwa sasa ni Tsmc pekee ndio ana leading Edge node edge kufanikisha hilo,

Pia unahitaji High bandwidth memory ambazo Samsung wenyewe zinawapeleka mbio hadi sasa hivi hawaja toa bidhaa bora, inabidi Nvidia amtumie Sky hnyx,

Then unahitaji Ip na technology ya maana kutengeneza Parrallel computing nayo Nvidia ni kiongozi.

Ukikosa kimoja katika hivyo vitatu huwezi Tengeneza a competitive hardware.
 
Trump ni kiazi mbatata
 
So umekubali after all, the badilisha kichwa cha habari cha mada yako. Una make it look like china wame wipe NVDIA out of existence. Come on man
 
Africa itakuwa mhanga mkubwa zaidi China akiwa super power, sababu kubwa ni kwamba China inahitaji rasilimali, masoko na sehemu ya kudampu mamilioni ya watu wake wasio ajira. Tumeanza kuziona cheche Wachina wakiuza hadi hadi kandamili na vyombo vya ndani Kariakoo na kuchezesha madubwi ya kamari vijijini.
 
Nilisoma namna hiyo pia, sema kwa vile wengine sio tech gurus ni ngumu kujenga hoja. NVIDIA hajapata mshindani bado, ascend ana safari ndefu sana.
Umerudi? Ascend is far better and more powerful than H20
 
So umekubali after all, the badilisha kichwa cha habari cha mada yako. Una make it look like china wame wipe NVDIA out of existence. Come on man
Sawa, ni kama coincedence Trump anapiga marufuku na Huawei wanatoa kitu tena sio kipolepole​
 
Nani aliwaambia China inataka kuwa superpower?​
 
Samsumg wanatengeneza DRAM chips na NAND memory chips

Hata China wana semiconductor foundries zinazotengeneza DRAM chips mfano CXMT

Na upande wa NAND memory chips kampuni ya YMTC inazitengeneza
​
Samsung wameshapoteza market share kwenye soko la China nashangaa sana hao jamaa wanaobisha
 
Nikkei ni most reliable, ni jarida la kulipia level za financial times, bloomberg etc kuwapinga unahitaji ushahidi usio na shaka ulete hapa.
Acha kuandika ufara

Financial Times na Bloomberg ndizo zinadanganya dunia kuwa Trump ameongea na Xi

Wanadanganya kuwa China imepunguza tariffs kwa baadhi ya bidhaa za Marekani

Na China imekanusha habari zao zote
 
Wachina wakifanikiwa miaka ijayo kumiliki roboti itakuwa kama kumiliki simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…