HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

Dunia inahitaji balance of power dhidi ya Western countries hegemony. Nazikubali harakati za Urusi na China kwenye kuchange world order​
chukulia huu mfano: kutengeneza AI bora kwa tulipofika you need NVIDIA + CUDA ila kwa kua unataka kufanya siasa utajikuta unajikaza kwamba hamna shida nazo, nani analoose apa?
 
Mkuu huyu jamaa labda ni mpiga debe tu wa uchina ila hakuna anachoelewa
 
lakini sasa NVIDIA mzee iko mbal, sjui nkueleze vp uelewe ila NVIDIA ni mafia wa GPU, kadi zao zpo miaka buku mbele na sio issue ya kadi tu nmekwambia unaweza kua na kadi yenye uwezo zaidi ya NVIDIA ila bila kua na CUDA mzee hutoboi, ata uloge
NVIDIA, AMD, na Qualcomm ni fabless companies. Wao wanadesign tu ila manufacturer wao ni TSMC kampuni ya Taiwan

Marekani hawana bleeding edge foundry. Hata mmiliki wa NVIDIA ni Mtaiwan pia ijapokuwa ameinvest Marekani

Semiconductor foundries za China zinaweza kudesign na kumanufacture

Unaposema NVIDIA iko mbele kwa nini wanashindwa kufanya manufacturing
​
 
TSMC ni kama kiwanda cha kugeuza mahindi kua unga, NVIDIA ni shamba la mahindi, kusifia ubora wa bidhaa kwa msaga mahindi ni uongo

2) TSMC anadeal na SEMI CONDUCTORS tu, haina uhusiano wa 100% na GPU
 
TSMC ni kama kiwanda cha kugeuza mahindi kua unga, NVIDIA ni shamba la mahindi, kusifia ubora wa bidhaa kwa msaga mahindi ni uongo

2) TSMC anadeal na SEMI CONDUCTORS tu, haina uhusiano wa 100% na GPU
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa HUAWEI wako mbele ya NVIDIA kwa sababu wao ni kama wana shamba la mahindi na kiwanda cha kusaga mahindi kuwa unga sio?

Vipi ikiwa msaga mahindi angetumia mashine isiyo na ubora ungepata unga mzuri? Kwa hiyo Bado ubora wa chips za NVIDIA, AMD na Qualcomm unabebwa na manufacturer TSMC (Mtaiwan)

Kuna sehemu nimezungumza kuwa TSMC wanadeal na GPU?
​
 
Wenzetu wakiwekewa vikwazo akili ndio inazidi kufunguka.
 
kutengeneza AI bora kwa tulipofika you need NVIDIA + CUDA ila kwa kua unataka kufanya siasa utajikuta unajikaza kwamba hamna shida nazo, nani analoose apa?
Huawei wametengeneza AI chip bora Ascend 910C bila NVIDIA + CUDA

Huawei kwao ni mwendo wa Ascend 910C + HBM3
​
 
Kuna shida mtu kwenda kusoma taifa lingine?​
Mimi shabiki number moja wa CGTN tv na CGTN documentaries..viongozi wa makampuni,wana science wakubwa wa China,madaktari N.K,Wakihojiwa 70% wamesoma US,hili linathibitisha ubora wa elimu ya US,wamekeza haswa.. unaweza kusema yote lakini kwa point hii ya elimu China bado wajipange
 

VYUO BORA KWA TAFITI BORA DUNIANI




PHYSICS



CHEMISTRY




 
Ndio nini hiki??mkuu unajua kusoma?? chief mkwawa kakupa elimu ya Jambo ambalo kila mtu anajua linavyofanya kazi,umekaza fuvu..nakupa mfano wa wasomi wa China kusomea marekani una reply na top Nini sijui,are you alright??
Hizo 70% za wanasayansi Wachina waliosoma Marekani ulizotolea wapi? Zilete hapa tuanze kujadili kwa fact

Nimekuwekea hiyo ili nikueleweshe kuwa vyuo vya China vinafanya vizri kwenye tafiti za kisayansi kuliko vya Marekani
​
 
Huawei wametengeneza AI chip bora Ascend 910C bila NVIDIA + CUDA

Huawei kwao ni mwendo wa Ascend 910C + HBM3
​
mzee hakunaga kitu kama AI chip zile ni GPU (GRAPHICAL PROCESSING UNIT) kazi yake ni kurender graphics tu 🤣🤣🤣, kuitumia kwenye AI unaongeza CUDA
 
unaweza kutumia mashine nzuri ya kusaga na ukatoka unga mbaya, nkimaanisha kila mbegu ya mahindi znatafautiana na ndo znaamua ugali utoke vp

- TSMS kwenye GPU hawapo sana zaidi wanadeal na semi conductors ambazo zko pia kwenye GPU but hazina uhusiano na kuamua NVIDIA ama AMD awe bora, kuna kitu unachanganya apa, kwanza unatakiwa kuelewa ili AI iweze kufanya kazi inatakiwa kua na nini ndo tutafika conclusion, labda nkuulize ili AI iweze kurun inahitaji hardware gan na gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…