secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Hata ungekuwa ww hiyo hela ungepiga tu....Fisadi mkubwa alipiga hela kwenye manunuzi ya wapinzani uchwara. Hapo alipo ni bilionea ndiyo maana haogopi hata kufukuzwa CCM. Ni mnafiki mbinafsi wa kiwango cha juu,hizo kelele zote ni kwa vile ameondolewa kwenye mfumo wa utawala.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kama unaumia sana na wewe nenda kajifukie huko Chato.
Imagine!.........Mtu huyohuyo leo anapata airtime na waandishi wa habari kupitia ukumbi wa kituo cha haki za binadamu! Hiki kituo nilitakiwa kumkatalia kama sehemu ya kuonesha kuwa Polepole kama mmoja wa vinara wa human rights violators hapa Tanzania hapaswi kutumia facilities ya kituo hicho. Sanctions ni muhimu kuonesha grievances ya walioonewa na wanaoonewa hata sasaBaadhi ya waliokataa kuunga mkono juhudi walihukumiwa na mwenyewe Dean wa Chuo cha Uongozi. Hizi hukumu zilikua psychological and physical toucher .
Wamnyime ukumbi kwani wako?Imagine!.........Mtu huyohuyo leo anapata airtime na waandishi wa habari kupitia ukumbi wa kituo cha haki za binadamu! Hiki kituo nilitakiwa kumkatalia kama sehemu ya kuonesha kuwa Polepole kama mmoja wa vinara wa human rights violators hapa Tanzania hapaswi kutumia facilities ya kituo hicho. Sanctions ni muhimu kuonesha grievances ya walioonewa na wanaoonewa hata sasa
Aliwashauri mnunue chanjo ya china naona mmenunua.Polepole soon huo mdomo wanaenda kuunyamanzisha kama wa gwajima
Karibu.Wamnyime ukumbi kwani wako?
Wewe ndio umeumizwa na pole pole kuliko waliompa
keyboard warrior.Karibu.
Hao Haki za binadamu hua Ni wajinga wajinga tu sometimes.Imagine!.........Mtu huyohuyo leo anapata airtime na waandishi wa habari kupitia ukumbi wa kituo cha haki za binadamu! Hiki kituo nilitakiwa kumkatalia kama sehemu ya kuonesha kuwa Polepole kama mmoja wa vinara wa human rights violators hapa Tanzania hapaswi kutumia facilities ya kituo hicho. Sanctions ni muhimu kuonesha grievances ya walioonewa na wanaoonewa hata sasa
Frustrations zako usitake kuzimalizia kwangu. Pambana na hali yako.keyboard warrior.
Hakusema wanyamaze milele, kumbuka hakuna kitu cha kudumu chini ya jua, kila kitu hubadilika
Kabla ya kuanzia pale aliposema wanyamaze nenda nyuma zaidi ukamjue Polepole vizuri