Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

Fisadi mkubwa alipiga hela kwenye manunuzi ya wapinzani uchwara. Hapo alipo ni bilionea ndiyo maana haogopi hata kufukuzwa CCM. Ni mnafiki mbinafsi wa kiwango cha juu,hizo kelele zote ni kwa vile ameondolewa kwenye mfumo wa utawala.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hata ungekuwa ww hiyo hela ungepiga tu....
kwani ni kazi ya kanisa ile
 
Baadhi ya waliokataa kuunga mkono juhudi walihukumiwa na mwenyewe Dean wa Chuo cha Uongozi. Hizi hukumu zilikua psychological and physical toucher .
Imagine!.........Mtu huyohuyo leo anapata airtime na waandishi wa habari kupitia ukumbi wa kituo cha haki za binadamu! Hiki kituo nilitakiwa kumkatalia kama sehemu ya kuonesha kuwa Polepole kama mmoja wa vinara wa human rights violators hapa Tanzania hapaswi kutumia facilities ya kituo hicho. Sanctions ni muhimu kuonesha grievances ya walioonewa na wanaoonewa hata sasa
 
Wamnyime ukumbi kwani wako?
Wewe ndio umeumizwa na pole pole kuliko waliompa
 
Imagine!.........Mtu huyohuyo leo anapata airtime na waandishi wa habari kupitia ukumbi wa kituo cha haki za binadamu! Hiki kituo nilitakiwa kumkatalia kama sehemu ya kuonesha kuwa Polepole kama mmoja wa vinara wa human rights violators hapa Tanzania hapaswi kutumia facilities ya kituo hicho. Sanctions ni muhimu kuonesha grievances ya walioonewa na wanaoonewa hata sasa
Hao Haki za binadamu hua Ni wajinga wajinga tu sometimes.
 
Huyo jamaa Kama anaona chama kimemshinda si ni Bora akajiunge na CUF Wana ngunguli
 
Watu wasilolijua ni kwamba Polepole kashachora ramani ya Donor ku fund harakati zake za siasa ya uongozi huko ana uzoefu nako sana.

Na kama ccm wanaweza kukumbuka shuka.mapema huyu jamaa anakua kimizizi na anaweza kuja kuwa mtu very powerful hata ndani ya chama chao siku za baadae wamkate mkia na awe under strict surveillance atawasumbua.
 
Labda leo anarudisha chenji yetu ya manunuzi ya viongozi wa upinzani.
 
Mbunge wa kuteuliwa Hamphule Polepole Leo majira ya saa tano ataongea na vyombo vya habari,

Bado haijajulikana kijana anaenda kuongea nini hivyo macho na masikio ni kwenye vyombo vya Habari,

Labda anataka kukabidhi maviete kwa wananchi [emoji23][emoji23]

#kaziIendelee
 
Kwa hyo wakati aloptaka watu wanyamaze alikuwa akilinda tumbo lake???
Hakusema wanyamaze milele, kumbuka hakuna kitu cha kudumu chini ya jua, kila kitu hubadilika

Kabla ya kuanzia pale aliposema wanyamaze nenda nyuma zaidi ukamjue Polepole vizuri
 
Back
Top Bottom