Unadhani yupo sahihi!Quran na Hadith za mtumie ni vitu constant,havibadiliki kulingana na mazingira,na jamaa katumia neno Mungu humo kuonesha ni msimamo wa aina Gani,nadhani Yuko sahihi,tofauti na hapo atakua kama nabii Tito huku bongo.
Alipitisha katoto hakajafika hata miaka 10.Hivi ilikua inapita kweli kwa kale katoto?
Ama kweli tunawasemeheWewe ni mgeni hapa jamiiforum!
Hawa mbona tumeshawazoea na Wala hakunaga shida.
Mtu anasema eti waislam wanaoa wake wengi hii huonesha wanawake hawana thamani..
Wakati huo huo yeye ni msukuma ambapo jamii yake alipotoka Kuna mafungu ya familia yaani familia ya baba mmoja Ina mafungu mafungu ..
Ibrahim baba wa Imani alikuwa na wake wangapi!
Yakuub/Yakobo alikuwa na watoto walitokana na wake wangapi!
Mfalme Daudi alikuwa na wake wangapi!
Sulayman alikuwa na wake wangapi!
Je mababu zetu walikuwa wanaoa wake wangapi kabla ya uislam na ukristo!
Kwamba bibilia ndo imekuja wafundisha watu waoe mke mmoja?
Wanyama tu hawawezi kuwa na jike mmoja Sasa wewe una akili unalimitiwa na maandiko ya kikundi Cha watu waliokaa wakaandika eti uoe mwanamke mmoja ..
Kumfanya huyo eti kiongozi wa dini ni kama kumkashfu Mungu tu, huyu hakua mtume wa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi, huyu alikua kiongozi wa shetani. Ni shetani pekee yake ndio anaweza kumruhusu mtumishi wake kupiga show na mtoto wa miaka 8-10. Ndio maana hata leo wanataka eti hili jambo liingizwe kwenye katiba, tuwaonee huruma mabinti zetu.Alipitisha katoto hakajafika hata miaka 10.
Hawa tumewazoe Wala hawatupi shidaAma kweli tunawasemehe
Mtu yeyote anaye amini dini,...ana shida ya afya ya akili,...
Kiukweli ukiwa mfiadini lazima baadhi ya nyuzi zikatike kwenye ubongo.Mnaoelewa lugha iliyotumika hizo subtitles nizakweli?
Inaonesha mleta mada anachuki na waislam
Ndio maana wanaoa 4 wakiona namna gan wanaacha wanachukua 4 nyingine?Ndio
Nimesema hapo chini kabisa,kama yupo tofauti na hadithi,Quran na wanazuoni wengine basi atakuwa ni kama nabii Tito TU,apuuzwe,ila kama utatumia common sense vizuri,utagundua jamaa yupo sahihi kabisa,ukiacha kidini hata kijamii TU,nafasi ya mwanamke ni ndogo kiasi Cha kumfanya awe sawa tu na maneno ya kiongozi ustadhi.Unadhani yupo sahihi!
Kwahiyo mtu akitumia neno Mungu katika maongezi yake hiyo inasahihisha Jambo lake kwa kuwa ametamka Mungu ?
Wapi katika Qur ani Mungu anasema wanawake ni Kama wanyama Kama hiyo clip ilivowekwa?
Kwanini kabla hujajibiwa kuwa ni kweli au si kweli,unahitimisha kuwa ni chuki?Mnaoelewa lugha iliyotumika hizo subtitles nizakweli?
Inaonesha mleta mada anachuki na waislam
Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
Wewe kama muislamu wa Tanzania tupe tafsiri yako.Muktadha, muktadha, muktadha
Hiyo kauli ilisemwa na nani, wapi na kwanini?
Usikute ni muislamu wa Iran huyo, waislamu wa huko wanawatafsiri wanawake kitofauti, sasa utawapakazia waislamu wote
UPUUZI MTUPU, sisi hatufuati mtu kasema nini, tunafata QURAN inasema nini finish. Huku kwetu Waislamu sio kama kule VATICAN ambapo papa anaweza kuamka na kuamua kutunga sheria yake akabadilisha Injili anavyotaka.
Huyu ni mpuuzi mmoja wapo anatumika tu hapo na MAKAFIRI hakuna Muislamu atamfata wala kumsikiliza..Waislamu sio makondoo.. SHWAINI
ππππMtume ndo alionesha mfano zaidi. Akaenda oa kitoto cha miaka 6
Punguza makasiriko.UPUUZI MTUPU, sisi hatufuati mtu kasema nini, tunafata QURAN inasema nini finish. Huku kwetu Waislamu sio kama kule VATICAN ambapo papa anaweza kuamka na kuamua kutunga sheria yake akabadilisha Injili anavyotaka.
Huyu ni mpuuzi mmoja wapo anatumika tu hapo na MAKAFIRI hakuna Muislamu atamfata wala kumsikiliza..Waislamu sio makondoo.. SHWAINI
Uislam uaelekeza hayo anayofundisha, kama kuna Uislam una maelekezo tofauti na huyo, huo siyo Uislam labda ni Uislam wa MagharibiMkuu uislamu upo WAZI, hayo ni maneno ya nani?, ushahidi upo wapi?, Mtume alisema haya?, je mtume aliwatendea vipi wanawake,(wakaze na mabinti zake)
Note: watoto wa mtume waliokua ni wanawake