mtechnical
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 238
- 570
kundi la mujahidina kina BIG SHOW,malaria2 na wanamgambo wafia dini umewaachaSiongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
Hao Waislamu wa Iran ndiyo wanashabikiwa na kuaminiwa Waislamu wa Tanzania, undugu katika imani. Old school conservatives majority ndivyo wanavyoamini.Muktadha, muktadha, muktadha
Hiyo kauli ilisemwa na nani, wapi na kwanini?
Usikute ni muislamu wa Iran huyo, waislamu wa huko wanawatafsiri wanawake kitofauti, sasa utawapakazia waislamu wote
Bila shaka iyo subtitles ni ya kueditiw kwa nia ovu ya kumpa huyo kiongozi picha mbaya, kama maneno hayo yangekua ya kwel ameyasema tusingekosa kuyaona BBC na vyomb vingin vya habar,Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
Wewe unanikumbusha ujinga wa binadamu haswa wakiwa na njaa au hawakusoma wanategemea waokozi, waje kuwasaidia tena kwenye mwisho wa dunia πSiongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
Haumzidi huyo kwa Uislamu, kwanza huu utapeli wa Uislamu na Ukristo Waafrika mnalazimisha tu. Yenu ni mizimu tu hata kama mmekuwa brainwashed kiasi kwamba matapeli wa Kiarabu na Kizungu wameshawaingiza mkenge jumlajumla.Kwa hiyo ukiona ndevu na kanzu tayari ni muislam?huyo anaajenda yake kama ww hapo kuuchafua uislamu sahihi.
Tuwekee subtitles za ukweli kwa ujuavyo wewe, wenzako wamemkana 'eti' siyo Muislam huyo π π.Bila shaka iyo subtitles ni ya kueditiw kwa nia ovu ya kumpa huyo kiongozi picha mbaya, kama maneno hayo yangekua ya kwel ameyasema tusingekosa kuyaona BBC na vyomb vingin vya habar,
Acha story za vijiweniMudy alioa kitoto cha miaka 6 yeye ni wa wapi?
Huyu anaujua Uislamu zaidi yako, Waafrika mmelishwa dini za kigeni(matango pori) sasa mnajifanya mnazijua kuliko waliozileta. Hayo mavitabu mnayotapeliwa nayo yamebuniwa na kuandikwa na watu.Wewe unanikumbusha ujinga wa binadamu haswa wakiwa na njaa au hawakusoma wanategemea waokozi, waje kuwasaidia tena kwenye mwisho wa dunia π
Wafuas wa Bhuda wanamsubiri Bhuda arudi leo zaidi ya miaka 500 B.C ili aje kuwaokoa, na Mahindus wanamsubiri Lal Krishinah leo miaka 3700 ili aje kuwaokoa Wakristo na badhi ya Waislam wajinga wanamsubiri Yesu, wakristo Yesu aje kuwaokoa, na waislam aje kupigana vita na makafiri hahaha.
Mungu amshushe cheo cha Mtume awe ntu wa kawaida? Akirudi Yesu atakuwa hapokei wahi sababu Mrume Muhammad ndio khatimu al anibiyaa. Mnataka .wenyezi Mungu amshusheYesu cheo chake, hizo zote ni ndoto za wajinga.
Kama huyu mjinga anaye sema wanawake ni wanyama, kosa la hao wanawake walio kuwa wanamsikiliza. Wangemuliza swali, je mtoto wa mnyama nayeye ni nani? Au wangemuliza mama yake pia ni mnyama na dada zake.
Akili kitu muhimu sana, we mtoa mada sio kila anaye vaa kilemba na kanzu ni Muislam. Uislam ni mafunzo ya Mtume Muhammad ambaye kawatukuza mama zetu kwa daraja tatu juu ya baba zetu
Mtume Muhammad alisema kheri kherikum liahly, alisema the best among you are the best to your family ni wale wanaheshimu wake zao, mama zao na dada zao. Vipi huyu awaite wanyama, huyu ni mshenzi mmoja hana dini wala adabu.
Embu tutajie jina na cheo cha huyu kiongozi ili tuendelee kujadili la sivyo utakuwa unaokota okota vi clip huko google unaleta ili kuendeleza ujinga wenu kama kawaidaSiongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
Hakuna mnyama anayeweza kuwa muislamu, hao sio waislamu ni wanayama waliovaa mavazi yenye asili ya nchi za kiarabuπΌPicha Kama hii akiweka muislam anakula Ban
Uzuri mtandao unaruhusu kuwakejeli wengine mkikejeliwa nyie Wala hakuna shida.
Na hii huonesha kiwango Cha akili za watu humu jamvini .
Mkuu Ina ukweli hii???? πππππ6 sio 9 ilikua 6 na akasukumia yaga
Ndio 6 na akasukumia yagaMkuu Ina ukweli hii???? πππππ
Nipe dalili zako wapi ananizidi dini, kwanza anacho ongea sio kiarabu we kwa kuwa mjinga umedhani anaongelea Qur'an haya we nitolee wapi kuna hadithi hata fake pia ya Mtume inasema wanawake ni wanyama?Huyu anaujua Uislamu zaidi yako, Waafrika mmelishwa dini za kigeni(matango pori) sasa mnajifanya mnazijua kuliko waliozileta. Hayo mavitabu mnayotapeliwa nayo yamebuniwa na kuandikwa na watu.