Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

Kuna uzi niliweka hapa jukwaani kuwa , hili la Nondo ni kutest mitambo tu, lkn Kuna kigogo wa upinzani anatafutwa.
 
Inawezekana CHADEMA wamemteka ili kuwapa machungu vyama Vingine .. kwanza jina la mmiliki wa Gari ni mtu wa kaskazini Mchaga ..

Kuna Drama nyingi zinafanyika sana hapa ila naona kabisa Kuna namna Fulani...
 
Toka lini mwanafunzi akamzidi mkufunzi wake?, Mbuzi uliyoikuza ikuzidi uwezo?.
 
Watajulikana mara ngapi?,au mpo jikoni kutengeneza namna yakuchezesha baada ya ishu kubumba sioo,Walio mteka ni polisi kwa maagizo ya mama kizimkazi na chama chake,over tusilete sympathy Za kinaa hapa.
 
kabisa, imekaa kama zoezi la utayari linalofanywa na idara ya zimamoto
 
Kama nime waelewa wewe na mleta mada:
Kwa mara ya kwanza kabisa CHADEMA wana shirikiana na jeshi la polisi kufanikisha utekaji wa kiongozi wa ACT-Wazalendo!

Hivi kweli mnazo akili timamu nyie? Na hukuwa hata na subira kuitafakari nadharia yako vizuri kabla ya kuwashwa uielete jukwaani!
 
Hizi ni sarakasi kabisa mtu anabinuka samasoti lakini tu akiwa amevaa taulo. Nimekaa hapa. Abdul Nondo ni mzima atapatikana bila shida na waliomteka watafahamika tu. ITAJULIKANA.🥺🤔🙇🏿‍♂

Kapatikana akiwa mzima japo hajitambui
 
Itajulikana tuu
 
Kwa hiyo hata namna/jinsi ACT ilivyo asisiwa hujui?
 
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.

Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine).
 
Hizo ni zile za kucheza huku taulo limevaliwa tena kwenye uwanja wa baba mwenye nyumba,asubuhi baada ya wapangaji wote kuamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…