Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

Sawa "mama" tunaendelea kusikia kauli zako za "Drama" ila kapatikana ameumizwa sana na hiyo kwako ni drama.
Acha bangi za Arusha
 
Nasikia pia ACT walipata habari ya kutekwa kwa Nondo kutoka kwa John Myika.
 
Watu wanalazimisha msahau uchufuzi unaoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Act -wananchi ni CCM B, wanataka kujivua huo U CCM B kwa hii sarakasi ili kuonyesha nao ni wapinzani kweli
 
Umekaza ukafikria ukaona uandike huu upuuzi..eti gari linajulikana waziwazi ...gari lolote plate number tu ukiingiza taarifa zake kwenye mfumo wa Kodi wa TRA unapata taarifa za gari.
 
Uko sahihi ni maigixo kati ya polisi na ACT ,kuna waru wanaenda kudondoshewa jumba bovu
 
Kama nime waelewa wewe na mleta mada:
Kwa mara ya kwanza kabisa CHADEMA wana shirikiana na jeshi la polisi kufanikisha utekaji wa kiongozi wa ACT-Wazalendo!

Hivi kweli mnazo akili timamu nyie?
Yani CHADEMA washirikiane na jeshi la police?

Hivi kweli unajiita kalamu alafu unaandika garbage namna hiyo?
 
Eti amepatikana akapata na nguvu ya kusimamisha boda apelekwe mwenge
 
Utekaji wa kishamba
Mtu kukosoa jambo
Fulani ndiyo mnatekana
Mpaka kutoana uhai

Ova
 
Kwa hiyo hata namna/jinsi ACT ilivyo asisiwa hujui?
We unajua jinsi ilivyoasisiwa chadema na baadae ulivyoasisiwa uenyekiti wa kudumu wa mbowe? Majungu tu kwa watu waliowazidi akili, pumbaaaav!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…