Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Wewe kwa akili zako CHADEMA wanaweza kushirikiana na CCM kuteka viongozi wa ACT?Nionyeshe isiyo 'garbage' uliyo andika wewe; halafu tutaanzia hapo kuonyesha nani 'garbage' kiuhalisia.
Ilikuwa rahisi tu utafakari na kujibu swali hilo, ambalo naona huna uwezo wa kulijibu; kwa sababu akili ya kufanya hivyo huna.
Usifikiri wote wanao kuja humu JF wanakuja kushabikia ujinga wa aina hii mnao jaza humu jukwaani kila siku.
Akili ni kitatua matatizo,mbona tatizo la uchumi ccm limetushinda.Hata ukiwaweka pamoja na mwenyekiti wao mbowe hawamfikii.
Hakuna jipyaUtekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao.
1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police.
2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja.
3. Police haraka wametoa tamko na kusema wanafuatilia.
4. Mpaka sasa Zitto ni kama anatoa tu kauli za umakini flani ambazo zina maswali kadhaa
Huu utekaji ni kama drama au kuna sarakasi zinapigwa hapa. Sioni kama nu utekaji wa Mzee Kibao au ule wa Soka. Abdul Nondo yupo salama salimini atarudi akiwa salama salimini na watekaji hawa watafahamika haraka sana ni wapinzani wa ACT.
Hizi ni sarakasi kabisa mtu anabinuka samasoti lakini tu akiwa amevaa taulo. Nimekaa hapa. Abdul Nondo ni mzima atapatikana bila shida na waliomteka watafahamika tu. ITAJULIKANA.
Hata kwenye ngazi hiyo ya "uchizi" inaonekana karibuni utaiacha nyuma; sasa sijui ni ngazi gani mbovu zaidi ya hapo utakayo iingia.Kama kyzidahamu hila za chadema ndiyo uchizi basi acha niendelee kuwa chizi maradufu.....nyie sio wenyewe ndo maana mkaitwa nyumbu, ndo maana mnafeli Kila siku.
Mnatoa watu Kila siku kujiunga ccm lkn hatumsikii zitto akihangaika na nyie, yeye akifanya au kukutwa na lolote basi mnatoka mbio vyooni huko bila kuchamba au kujiswafi vizuri na kuja kumshambulia. MnA shida gn nae?!!!!!!! Amewapyambyia wake zenu?!!!!!
Kwani nimesema hivyo mimi, au ni akili yako potofu inayo tafsiri hivyo!Wewe kwa akili zako CHADEMA wanaweza kushirikiana na CCM kuteka viongozi wa ACT?
Hiyo kama sio garbage ni nini? ni zaidi ya garbage ni super bullshit kiwago Cha SGR
Unatoa mifano ambayo haiendani kabisa. Nani alisema Trump ni maigizo? Maigizo ya risasi kupiga sikio na kwenda kuua mtu? Au ilikuwa ni mijadala ya Bongo? Kwa sababu ndiko kwenye watu wanaotumia tumbo kufikiri.Some
Sometimes Yes and sometimes no. Mfano Trump kutaka kuuwawa, ilikuwa maigizo au kweli. Kama ni maigizo mbona aliyetaka kumuuwa, aliuwawa haraka pia.
Acha ubabaifu, ulisema CHADEMA wanashirikiana na ccm...Kwani nimesema hivyo mimi, au ni akili yako potofu inayo tafsiri hivyo!
Hilo lilikuwa ni swali lililo tokana na maandishi yako. Unacho takiwa ni kujibu swali.
AIIISEEEE!Acha ubabaifu, ulisema CHADEMA wanashirikiana na ccm...
Au sasa umegundua kwamba ulikosea kuandika hiyo garbage?
Kweli hujakosea, akilia zangu zimeona kwamba uliandika garbage bila kufikiri, sasa umegundua unatafuta pa kutokea.AIIISEEEE!
Nilipo tilia mashaka "akili zako" hapo mwanzo sikuwa nimekosea!
Mkuu 'Bob Manson', sijui ni kwa nini, lakini nilipo ona jina lako mara ya kwanza 'Bob Manson', nililihusisha tofauti kabisa na hivi unavyo jionyesha sasa!Kweli hujakosea, akilia zangu zimeona kwamba uliandika garbage bila kufikiri, sasa umegundua unatafuta pa kutokea.
Pia nilivyoona jina "Kalamu" na nilipoona hilo jina na neno la Platnum member, nikapata mshagao kuona unaandika CHADEMA wanashirikiana na CCM kiteka watu wa ACTMkuu 'Bob Manson', sijui ni kwa nini, lakini nilipo ona jina lako mara ya kwanza 'Bob Manson', nililihusisha tofauti kabisa na hivi unavyo jionyesha sasa!
Wewe umeingia humu tokea 2021. Ni muda mrefu kidogo wa kuweza kujitathmini unacho andika humu na wanacho andika wengine.Pia nilivyoona jina "Kalamu" pia nilipoona hilo jina na neno la Platnum member, nikapata mshagao kuona unaandika CHADEMA wanashirikiana na CCM kiteka watu wa ACT
Kuwa Jf tokea 2021 sio sababu ya kuhalalisha au kukubali kwamba ccm wanashirikiana na chadema, kama uliandika bila kufikiri rekebisha kauli na sio kushauri wengine kwasababu za kujoin Jf 2021.Wewe umeingia humu tokea 2021. Ni muda mrefu kidogo wa kuweza kujitathmini unacho andika humu na wanacho andika wengine.
Hakuna sababu hata kidogo ya kuanza kupotezeana muda wakati majibu yamo humu humu ndani ya Jukwaa la Siasa la JF.
Sawa, mkuu wangu 'Bob'?
Basi utakuwa unayoi matatizo mengine makubwa zaidi ya nilivyo dhani. Pengine bangi zimekuzidi kichwani.Kuwa Jf tokea 2021 sio sababu ya kuhalalisha au kukubali kwamba ccm wanashirikiana na chadema, kama uliandika bila kufikiri rekebisha kauli na sio kushauri wengine kwasababu za kujoin Jf 2021.
Sawa, mkuu wangu Kalamu'
Unatafuta pa kutokea kwa visababu vya kuvuta bangi, garbage uliyo andika haifanani na umri wako faza.Basi utakuwa unayoi matatizo mengine makubwa zaidi ya nilivyo dhani. Pengine bangi zimekuzidi kichwani.
Kwa nini uhangaike hivi wakati maneno yenyewe unayo lazimisha kuwa yangu yapo kwenye mada hii hii. Hivi huwezi hata kuoona aibu?Unatafuta pa kutokea kwa visababu vya kuvuta bangi, garbage uliyo andika haifanani na umri wako faza.
Haya sio maneno yako Mr. Kalamu ?Kama nime waelewa wewe na mleta mada:
Kwa mara ya kwanza kabisa CHADEMA wana shirikiana na jeshi la polisi kufanikisha utekaji wa kiongozi wa ACT-Wazalendo! Hivi kweli Mnazo akili nyie?