uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
Mbona wameongea wengi,wewe umemuona binti tuu au ndo chaguo lako?Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Yesu sijui unamuingiza wa nini hapo! Mnafiki wa kanisani wewe!Vijana wa Chadema hopeless kabisa
Kwani akimnyima kura si sawa tu, sababu huwezi pendwa na watu wote kwa asilimia mia moja, hata Yesu mwenyewe alichukiwa na baadhi ya binadamu sana tu, sembuse Mh. Rais wetu.
So ni jambo la kawaida tu, ila CHADEMA ndio mnafanya kuwa jambo kubwaaaaa..!! Hopeless Chadema kabisa
Usiyalilie ya huko Kenya; Pambana na haya ya haPa kwetu!Tanzania tungekuwa na uhuru wa kuongea kama Kenya,tungekuwa mbali sana kwenye maendeleo, uhuru wa mawazo ni muhimu sana kwenye democracy
Huyu katia shida familia ya watuAliyemrekodi na kushea kampa shida aise
Kabla hata ya kumkimbilia huyo Yesu na kumhusisha kwenye maswala haya; umejiuliza hizi baiskeli mliziPeleka huko kwa sababu gani?Vijana wa Chadema hopeless kabisa
Kwani akimnyima kura si sawa tu, sababu huwezi pendwa na watu wote kwa asilimia mia moja, hata Yesu mwenyewe alichukiwa na baadhi ya binadamu sana tu, sembuse Mh. Rais wetu.
So ni jambo la kawaida tu, ila CHADEMA ndio mnafanya kuwa jambo kubwaaaaa..!! Hopeless Chadema kabisa
Mna laana nyie maana hata wenyewe kwa wenyewe mnaibiana kama mafisi tuu! AIBU!Zinaibwa kutoka kwa nani?!!!
Mkuu, 'backbenchers', hawataki iwe hivyo, ya kidemokrasia; ndiyo maana wanayagawa hayo maiki/mabaiskeli; na ndiyo maana akina Tundu Lissu wako ndani sasa hivi na CHADEMA wamefungiwa.Babu hii ni nchi yakidemokrasia, watu tuko free kuchagua mtu yeyote ambaye tunaona anatufaa
kwani ngoma za chagulaga msimu umeshaisha? watakuwa na ugwadu tu, ila inareflect kauli za mpina kuwa bado wana mdai,Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Hii ilitokea wapi na hao kina dada walikuwa kina nani?wakati wa nyerere kuna wadada aliropoka kuwa kha kanyerere kumbe kembamba kuliko mume wangu, walikiona cha mtema kuni.
ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara kijiji cha Ngulyati bariadi kwenye ufunguzi wa ginery ya pambaHii ilitokea wapi na hao kina dada walikuwa kina nani?
Walipewa baiskeli ili wasifie tu?Yaani unapokea baiskeli alafu unaponda,si bora wangezikaushia
Hao lazima watakutana na mtema kuni
Ova
Mimi ni mkulima wa pamba, tumbaku na mnunuzi wa mahindi/mpungaSio kweli kwa sababu % kubwa ya watz ni wakulima na hakuna kipindi ambacho wakulima wameuza mazao yao kwa bei nzuri kama kipindi cha huyu mama tangu uhuru.
Miradi yote iliyo achwa na Magufuri ameikamilisha yote hali yakuwa alikuwa na uwezo wa kuachana nayo na kuanzisha ya kwake.
Suala la kupendwa au kutopendwa kila rais kwa watz huwa ni mbaya hata Magufuri walikuwa wanashinda wanamtukana mitandaoni kuliko hata huyu mama ,kiufupi watz hatujui tunataka nn.
Wakandarasi Machawa walitaka kumnunulia Helkopita kwa ajili ya kufanyia Kampeni. Nchi ina watu wajinga hii acha tu. Huku hela Mnadai kama Wakandarasi huku kuna kikundi cha Machawa kinajipendekeza kununua Helkopita.huyu mama sijui anawaza Nini ameuwa secta ya ujezi, wakandarasi tuna hali mbaya kweli
Bado na mabaarua ya intention to terminate.huyu mama sijui anawaza Nini ameuwa secta ya ujezi, wakandarasi tuna hali mbaya kweli
Ana tuona m^^kundū tuHivi Kweli Samia.... Watanganyika huwa anatuonaje??
Ngoja baiskeli zake ndizo zitampigia kura!
Kundi la wazelendo waiba pesaIla kiukweli kabisaa, sa100 hakubaliki kwa wanannchi wengi wa kati na wale wa chini...hajagusa maisha yao moja kwa moja.
Anakubalika kwa kundi dogo tu (na ndio lenye makelele mengi) la wanufaika wa utawala wake...wateule na machawas!
Kwa akili ndogo za viongozi wa serikali, polisi na CCM walivyo zoea kuhangaika na vitu vidogo vidogo watawakamata na kuwapoteza hao maskini kama walivyo mpoteza yule dogo wa picha, hawa CCM na polisi ni mashetani kabisa hawa.Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Mkuu hivi unaamini kwamba viongoz wanapendwa na watu wote?Huko ni kukosa shukrani, hii jamii inaonekana ina watu wasio na shukrani kama hao waliopokea zawadi za Daktari halafu wanakataa kulipa fadhila.