Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa
Askari wa kwanza mwenye bahati mbaya huyu hapa
 
Kuna umuhimu wa kuimisha kikosi cha kupiga risasi kwa kuwinda a.k.a snipper sio tu vikosi vya FFU, mbwa , farasi nakadhalika kwa lengo la kudhibiti maandamanooooo....
Huyo jamaa walishindwa kumwagia maji ya washa washa?
 
Jamaa amepenyaje na kufanya tukio la aibu sehemu yenye ulinzi kama hapo,pamezungukwa na Ofisi Za Mabalozi na Jirani mita kama 300 kufika kwenye offisi za Usalama wa Taifa?Aibu sana kwa Usalama wa Tanzania,Sasa ikitokea kule Mapangoni Tanga si itakuwa balaa!!!
 
Ni tukio la kutengeneza.Gaidi huwa hapigi risasi randomly.Gaidi huwa ana specific target at specific time.Subiria jioni Serikali itaanza kujichanganya yenyewe na kujikuta inaanika ukweli wote bila ya kukusudia kwa sababu hawakuwahi kuwa na akili.
 
Eti wakikutana na wanachama wa ACT wanafanya mkutano hata kama wako 10 tu na hawana hata fimbo mkononi wanaita Press eti wamekamata magaidi😅😅
Kwakuwa Museven kawaleta wafghanistan elfu 10 hapo Uganda ,na kati yao kuna wataaliban . Wataaliban kumi wakija hapa bongo watawakalisha polisi wote.
 
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
-Ni nani?
-Katumwa na nani?
-Yuko na akina nani (wako wangapi)?
-Nini dhamira yao?

-Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu
 
Usingeandika neno chadema ingekua poa lakini wewe kumbe ni lipumbavu tuu.
 
Kwakuwa Museven kawaleta wafghanistan elfu 10 hapo Uganda ,na kati yao kuna wataaliban . Wataaliban kumi wakija hapa bongo watawakalisha polisi wote.
Juzi kuna watu niliwambia kuhusu swala hili. Afrika mashariki imevamiwa kwa urafi wa madaraka. Wale wanaoitwa wakimbizi kutoka Afghanistan ni geresha. Wale wameletwa kuleta vurugu ukanda wa afrika mashariki na M7 na mwenzake mtu mrefu nawatilia mashaka sana
 
Usingeandika neno chadema ingekua poa lakini wewe kumbe ni lipumbavu tuu.
Polisi wetu wana ujuzi wa kukamata chadema tu. Lkn kwa wanaume wenzao mikia inaingia makalioni
 
Mtu ana AK 47 mkononi halafu umkamate kizembe ,huyo siyo mwana CHADEMA aliyevaa Tshirt ya katiba mpya
 
Please ,gaidi ni mjanja zaidi kamwe hawezi kuzungukaka mtaani bila lengo akisubiri risasi ya polisi. Mgonjwa wa akili huyu.
Yeye alikuwa anawalenga polisi. Shida yake ilikuwa mapolisi ndo maana hajaua Raia wa kawaida.
 
Back
Top Bottom