Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

Wanawake mjifunze namna ya kuishi na wanaume,acheni kejehi na madharau. Mf. Natoka zangu kuhangaika, unaingiza mwanaume chumbani kwangu, hizo ni dharau zilizokubuhu.
Wanawake huwa ni wazuri, lakini wana kikibri cha kuamsha Hispanic mbaya sana ndani ya wanaume. Hispanic hiyo nayo ni mbaya mno.
Tunatembea na mapepo wazuri na wabaya.
Tusiache kujiombea.
 
Kama hii story ni ya kweli mke alikuwa na shida gani wakati hata mume akifa hiyo nyumba ni ya kwake na watoto wake? Tena hapo na kiwanja si cha kwake? Au Director kakosea script?

Nimesikia sehemu kua lile gorofa ni mali ya Baba mzazi wa mwanaume aliloliacha kwa mwanae sasa kesi kubwa hapa nikwamba mwanamke baada ya mume kuanza kuumwa analisalandia kujimilikisha yeye nafikiri na watoto wakati ni mali ambayo haimuusu kabisa.plus na michepuko baada ua mzee kuanza kuugua maana nahisi huenda ata mwanaume amepoteza nguvu lqbda.nimeisikia kutkka kwa dadq mmoja mtu wa karibu anaeifahamu hii familia
 
Wanawake huwa ni wazuri, lakini wana kikibri cha kuamsha Hispanic mbaya sana ndani ya wanaume. Hispanic hiyo nayo ni mbaya mno.
Tunatembea na mapepo wazuri na wabaya.
Tusiache kujiombea.
Usiendeshwe na hisia unaweza kuishia kuwaua wengi mno, tumia akili yako kuishi nao, kuna mwamba aliikimbia familia yake alikua na mke na watoto wawili alikua anaitwa Baba Jeni, siku hio aliondoka tu asubuhi na kuingia kwenye mihangaiko yake km kawaida hakurudi tena, na jamaa alikua mtu mkimya saana kumbe alikua na migogoro ya hapa na pale na mkewe, ikapita wiki jamaa hatumuoni ikabidi watu wanaomjua wamuulize mkewe nae anasema hajamuona nyumbani week nzima lakini cha ajabu alikua hana wasiwasi na hajali km jamaa awepo asiwepo yeye safi kabisa anajitanua na watoto wake, ikapita km mwezi ndio ikagundulika jamaa yupo Morogoro anaendelea na maisha mengine, hakuwahi kurudi tena mpaka leo huyo mama anaishi na wanae peke yake jamaa kalala mbele, kwa hio ndio hivyo ukiona namna gani usiue wewe chukua 50 zako lala kushoto
 
Ni wazi ndoa hiyo haikuwa na mapenzi. Watu wanaopendana hawawezi kupigana risasi
Wewe bafo haujazijuwa kazi za shetani.

Sasa utamkuta mke anampenda kwwlli mume wake na anaombea asipate pesa wakati maisha yao yanahitaji pesa.

Basi wewe bado haujaona mengi hapa duniani, muombe Mungu akutunze utashuhudia mambo ya ajabu sana.

Bado hapo haujaona mke wa mtu anachukuwa uchumi wa nyumbani anamjengea nyumba kibwana chake kibaka tu wa mtaani eti kisa utasikia anamkaza vizuri, shubaamiiti risasi zitaendelea kama kawaida yani kuna vitu unaviona unaumia wewe wa pembeni je vipi akijuwa muhusika mwenyewe?
 
Mkuu hisia ni kila kitu duniani.
Hisia ina nguvu tusiyoijua kamwe.
Ndio maana twaenda kusali kila jumapili ili tu control Hisia za nafsi zetu, ziwe katika mwelekeo mwema.
Tunaishi kwa hisia
Tunapenda kwa hisia
Tunaoa na kuzaa kwa hisia
Tunatunza watoto kwa hisia

Tunafanya kazi na kutafuta kipato kwa hisia njema

Sasa akaja mtu akaichafua hisia hiyo upande wowore, kuchafukwa na kuoona giza mbele kwaingia moyoni
Msavabisga hisia mbaya anakuwa terminated.
 
Process ya Divorce, watu wanasema mali mara ghorofa sijui kiwanja, masikini bwana... tuendelee kuokotaokota ushahidi hivi hivi tutaelewana vizuri, uzuri jamaa kaua halafu yeye kufa hataki, kuna yule mwamba aliua mkewe kule mwanza alipiga risasi sita kisha yeye akaenda baharini kujimaliza
 
Kwani lazima mpaka uue lala mbele tu kaanze na moja kwani shingapi?
 
Naomba Statement ya Chivayo kwenda kwa Ex Wife wake alikua anamfanyaje jamaa mpaka akasema hata iweje huyo mwanamke simrudii mkitaka kuniua niueni tu ila kurudiana na huyo mwanamke sio mimi
 
Mke - Nipe talaka, na Majina ya mali nishaanza mchakato wa kubadili yawe ya watoto

Mme - Lakini mke Wangu, hujali hata hali yangu, si Watoto wapo

Mke - Thubutu, kwanza ndugu zako watanisumbua, halafu miezi sita hujanit..... Unadhani nilikuwa nakusubiri wewe tu, ili iweje? Kwanza hawa watoto hakuna hata mmoja damu yako.....

Ni mshangao baada ya hapo ni Paaaah paaaaah.

Nazingua tu.
Ila kwenye hiyo inshu mwanamke kuwa na mchepuko inahusika sana.

Hiyo inshu ina Pain Moyoni Sio Poa.

Mungu awe pamoja nao na familia zao.
 
Bado niko palepale mtu unayempenda huwesi kumpiga risasi!
 
Hii story ya cancer is not adding up! Usikute kagongewa mke na ushahidi umo! Au hii nyumba ni yangu wewe huhusiki wakati mwamba kajenga
Familia zina siri. Inawezekana una point hapo kuhusu kugongewa.

Kwenye hiyo story hakuna anayejiuliza huyo mke wake na yeye alikuwa ameenda wapi?

Maana mume “alipigiwa simu na majirani kumjulisha kuwa mkewe karudi”

Kama ni kweli ana kansa, na kuna usaliti ndani ya nyumba, halafu huyo mke anahangaika na mambo ya “kubadili” hati, pengine ni ushauri mbovu aliopewa na huyo mchepuko (kama kweli usaliti upo)

Lakini swali jingine; Kama kiwanja alinunua yeye, ina maana tayari hati ilisoma jina lake.

Sasa hiyo hoja ya kwamba ugomvi umeletwa na mwanamke kutaka hati iwe na jina lake na watoto ina mantiki gani?

Labda kesi ikianza tutajuwa mengi zaidi.

Btw naona mtoto wa kike kafanana na baba na wa kiume kafanana na mama.
 
Story ya hivi nimekuwa naiona ila kila anayeielezea kuna kitu anakuwa ameongeza au kukipunguza
 
Watoto wawili wadogo hawafanani na baba.
Simaanishi chochote🙌🙌🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…