🚮🚮🚮🚮🚮Zile enzi za kukamata na kusamehe zitabaki historia.
Tunaingia phase mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Lissu ndie atakuwa mfano wa haya mabadiliko mapya.
View attachment 3463981
Zile enzi za kukamata na kusamehe zitabaki historia.
Tunaingia phase mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Lissu ndie atakuwa mfano wa haya mabadiliko mapya.
View attachment 3463981
Kwani hayo yote sababu ni nini?tukifika huko utafanya nini zaidi ya kulalamika humu kwa wiki 1 ?
Kulalamika na kutukana mitandaoniUtaratibu wa watz umeusahau ?
%Kulalamika na kutukana mitandaoni
laana ya kumnyonga lissu haitaiacha hii nchi salama!Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
Acha tabia za KKwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
Hata akinyongwa haitaua idea ya mageuzi.Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
mwisho ilikua kwenye utawala wa awamu ya pilimara ya mwisho mtu kunyongwa ilikuwa mwaka gani?
Nafasi ya maridhiano haitakuwepo tena ,yaani kwa lugha nyepesi nikwamba watakuwa tayari wameamua kulichoma moto Taifa .tukifika huko utafanya nini zaidi ya kulalamika humu kwa wiki 1 ?