He has nothing to lose ...Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
KabisaWatanzania hawana utaratibu wowote.
Wangekuwa nao huyu mgeni wa kike asingechukua hata fomu
Kunasemekana kuwa Magu aliuawa na wabaya wake kisa siasa zake...take my word, watu walikuwa wanalalamika kama unavyosema. Hivyo na huyo pia atatendwa tukiwa tunalalamika hivi unavyosema.tukifika huko utafanya nini zaidi ya kulalamika humu kwa wiki 1 ?
Ndiyo Rostam anavyowadanganya?Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
Ufike huko kwa ushahidi upi na mashitaka yenyewe hayana substancetukifika huko utafanya nini zaidi ya kulalamika humu kwa wiki 1 ?
Kakutuma nani ulete porojo?Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
Samia ameagiza kuwa Lissu anyongwe kabla hata hajaapishwq mweiz November.Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
ZABURI 109 na ZABURI 35 inawahusu wote wanaostahiliHilo shimo watatumbukia wenyewe,
It will never happenKwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
Hakika maombi ya ZABURI 109 haitamuacha salama ntu yeyote atakae muonea mwanchi kwa hilaZABURI 109 na ZABURI 35 inawahusu wote wanaostahili
Umesema amepewa kosa la uhaini, kumbe hakutenda uhaini ila amegawiwa, amezawadia uhaini.Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
Kama risasi ziligoma na kitanzi kitagoma pia!Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,
Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!
View attachment 3463981
Hizi ni propaganda zako za kipuuzi, wewe una maslahi gani kwenye hii kesi ya mchongo? Hebu jitahidi kuficha upumbavu wako.Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.