I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

Unaandika as if unaujua uhaini. Uhaini ni kula njama za kumpindua rais na serikali yake ambayo ni jamhuri mjuba. Uhaini unapangwa na kundi lenye watu wengi waliojipanga kila idara. Hufanya uasi dhidi ya serikali inayotawala na wanaweza kuwa wanajeshi au raia wenye wanawamgambo/wapiganaji wenye silaha kukabiliana na majeshi ya serikali. Sasa hapa Lissu kafanya au kajaribu kufanya uhaini gani akiwa peke yake au akiwa na kikundi fulani cha wapiganaji? muachage kuchochea kesi za kisiasa wakati mambo yako wazi Lissu na mwanasia shupavu
 
Hanyongwi!
 
Kama mioyo yao itakuwa imeburudika na kupata amani /ahueni,wamnyonge.
Hakuna wa kumnyonga TAL. Kumnyonga TAL kwa matamshi aliyotoa ni kupanda mbegu ya uasi halisi kwa wafuasi wake hata ndani ya majeshi, na maadui wa serikali watapitia humo humo kwenye huo ufa. Serikali haiwezi ruhusu hiyo hatari.
 
kwa nini unataka kuipangia mahakama?
 
Swali kuu hapa ni: je, wakimnyonga mtawafanya nini?
Mpaka sasa inaonekana hakuna chakuwafanya na hii ndiyo dhiki kuu wakifanikiwa basi tutakuwa kama kuku tunachaguliwa yupi mnomno tumle Kwa wiki hii...But there is God in heaven who is still sitting in the throne huwa ana namna yake hivi Kwa sehemu usiyotarajia mambo yanaheuka na kuwa vice versus
 
Sawa basi hakuna shida, tunasubiri huo unyongwaji!!!
 
Sijui kuhusu Tundu Lissu kunyongwa. Sijui Tundu Lissu ana kosa gani mpaka anyongwe. Tundu Lissu amesikika Bungeni anasema:"Mheshiwa Spika,hapa kuna ufisadi mkubwa umetokea,sitaki masihara,nataka niwafuchue Hawa mafisadi katika hili Bunge Tukufu....",mtu aliyesikika anaongea anaweza vipi kunyongwa.
Mahakama hii, they are straining a gnat and swallowing a camel." Watu wengi hapa wanafanya ufisadi mkubwa CAG anatueleza kila siku,hawafanywi kitu, lakini unasema,"Tundu Lissu,you have done this and that; it could be a crime under our laws".
Hilo ni moja,secondly,CCM wakishinda tena 99% kama 2020,wanaweza kugombana na wananchi.

Na Chadema haipo kwenye Uchaguzi; kwa nini Chadema wasiwe appeased ili waweze kushiriki katika Uchaguzi?
Ikibidi washiriki hata bila Tundu Lissu.
Even now it can be done,ndivyo Serikali inavyoshinikizwa na jumuiya ya Kimataifa.
Wapinzani wapate kichapo in the ring,ili kumaliza kelele.
Halafu remember, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka jana ulikuwa bungled,kwa hiyo it is imperative that Chadema should enter the Elections.
Mahakama imeruhusu Chadema wapewe ruzuku and yet Msajili wa Vyama anasema hajapata official notification. Sasa inakuwaje. Inachukua nusu saa tu kumtuma mesenja kumpelekea barua.
 
Wamnyonge tuone kama hatarudi kwao Kizimkazi akiwa uchi wa hayawani🚮🚮🚮🚮
 
Hilo kosa la uhaini unalithibitisha vipi?
 
Hii ndiyo porojo ya kipumbavu kuliko zote kuwahi kutokea uliona wapi steringi akauwawa sasa picha ya uchaguzi siitakuwa imeeisha
 
hii...But there is God in heaven who is still sitting in the throne huwa ana namna yake hivi Kwa sehemu usiyotarajia mambo yanaheuka na kuwa vice versus
Huyo Mungu hayaoni mateso ya watu wa Gaza? Au Mungu yupo Tanzania tu?

Ya Mungu hutatuliwa kimungu na ya kisiasa hutatuliwa kisiasa.
 


Not they is She" President Samia"
 
Angalia hilo domo lake alivyoasama jitu la hovyo sana ptuuuuh!!
 
Dah! Umeandika point tupu nikupe hongera kwa deep thinking
 
Kwani TAL anasemaje kuhusu kunyongwa?
 
Mtu akishakuwa ni Chawa anapoteza 89% ya uwezo wake wa kufikiria. Haya uliyasema hapa ni magumu sana kwake kuyaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…