IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu
Katiba iliyopo ni changamoto! Haitengenezi mazingira ya kuwajibika/kuwajibishana. Hivyo msubirie tu astaafu kwa mujibu wa sheria.
 
Naona unamwagia mchanga ugali wa mtu mkuu.....
 
Wanatembelea ile kauli ya "Ni upepo tu huu nao utapita..watanzania ni wasahaulifu ..watu wa matukio na trending ..so kausha litapita"

No accountability kabisa ajiuzuru wakati hajui ataishi vipi kitaa bila mshahara wala posho.

Kustaafu yenyewe huwa hawapendi ipa sheria inawalazimisha[emoji1787]
 
We jamaa Kiboko, una institutional memory ya utendaji mbaya wa polisi na hatua zake walivyowajibika. Siro kaua sana raia na kuwateka kuwapoteza wengi
 
Mzee Sirro (mkurya mwenzangu) kwa kweli kwenye baadhi ya Mambo amepwaya japo yapo aliyojitahidi kuyafanya.

Binafsi namuomba awe na huruma kwa Tundu Lissu atuambie Nani alifanya ule upuuzi na kwanini kamera ziliondolewa,ama sivo dhambi hiyo itamwandama mzee wangu
 
Mzee Sirro (mkurya mwenzangu) kwa kweli kwenye baadhi ya Mambo amepwaya japo yapo aliyojitahidi kuyafanya.
Binafsi namuomba awe na huruma kwa Tundu Lissu atuambie Nani alifanya ule upuuzi na kwanini kamera ziliondolewa,ama sivo dhambi hiyo itamwandama mzee wangu
Mzanaki yule
 
Toka tupate Uhuru tumekuwana IGP wengi lakini kati ya hao wote haijawahi tokea wakati Jeshi la Polisi limelaumiwa kama ilivyo chini ya uongozi wa Sirro. Enzi ya awamu ya kwanza kulitokea kashfa ya mauaji ya Shinyanga na IGP wa wakati huo ambae kwa bahati mbaya simkumbuki jina pamoja na waziri wake mzee Mwenyi na aliyekuwa mshauri wa masuala ya usalama mzee Paul Sozigwa waliwajibika kwa kujiuzulu.


Wampe ubalozi
 
IGP Siro komaa baba, usijiuzulu. Mbona waziri wako hajajiuzulu? Mbona waziri mkuu hajajiuzulu? Ziba masikio kabisa.
 
Toka tupate Uhuru tumekuwana IGP wengi lakini kati ya hao wote haijawahi tokea wakati Jeshi la Polisi limelaumiwa kama ilivyo chini ya uongozi wa Sirro. Enzi ya awamu ya kwanza kulitokea kashfa ya mauaji ya Shinyanga na IGP wa wakati huo ambae kwa bahati mbaya simkumbuki jina pamoja na

Matatizo haya yanatosha kumfanya mfanyikazi yeyote mwenye kuwajibika kuona umuhimu wa kuachia ngazi . Kama yeye haoni umuhu basi aliyemteua aone kuwa huyu mtu ameshindwa kazi na anachofanya ni kumchafua mteuzi wake aonekane anamuunga mkono kwenye masuala yote haya.
Sasahivi usalama wa raia siyo kipaumbele, kipaumbele ni kushughulikia wapinzani haswa CHADEMA
 
Kwenye kuchukucha kura huwa anawalinda hawaoni sababu ya maana ya kumtoa hapo.
 
Back
Top Bottom