Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kumfuta kazi Sirro yuko wapi!Kwa hiyo wenye dhamana ya kulinda wananchi na mali zao wanaua ? [emoji24]
Mkuu ni hivi... kwa nchi ambayo wananchi wengi hawajielewi nadhani matukio kama hayo yakitokea yanawapa mafundisho ya moja kwa moja!!Wengi kiasi gani?
Saa hata iwe mbovu kiasi gani Kuna kipindi itasema kweli tuID imeibiwa.
Mbona enzi za mfalme hukuwah kusema haya???Kwanza ni kukithiri kwa kashfa nyingi zinalorihusu Jeshi la polisi juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kupiga na kutesa watuhumiwa kinyume kabisa na ibara ya 13 (6)(b)(e). Malalamiko yamekuwa mengi kiasi cha kulichafua taifa letu kuwa lina jeshi la wapiga raia na watesa raia wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.
Kuibuka kwa matukio ya mauaji ambayo yamelikumba taifa letu kiasi cha kuwafanya watanzania wapate hofu kubwa. Kufululiza kwa mauaji haya yanatia hofu kuwa sasa maisha yao yapo hatarini na wauaji wamejiamini kuwa hakuna chombo kinachoweza kuwatia mikononi mwa sheria.
Kujihusisha kwa maafisa wa polisi na siasa waziwazi kiasi cha baadhi ya maafisa kukiri wazi wazi kuwa wanailinda Ccm ibaki madarakani kwa mtutu wa bunduki. Mfano ni afande Kiondo ambaye amefunguka hadharani kabisa.
Rushwa kuwa sehemu ya maisha ya jeshi la polisi huku wasio na pesa wanapotenda makosa ndio hufikishwa mahakamani ambapo wenye pesa hawagusi mahakamani kabisa.
Kwa mukutadha huu Sirro alitakiwa awe amefutwa kazi.
Usijitoe ufaham 🏌️🏌️Una maana gani kamanda?
Kwanza ni kukithiri kwa kashfa nyingi zinalorihusu Jeshi la polisi juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kupiga na kutesa watuhumiwa kinyume kabisa na ibara ya 13 (6)(b)(e). Malalamiko yamekuwa mengi kiasi cha kulichafua taifa letu kuwa lina jeshi la wapiga raia na watesa raia wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.

Najua vizuri chuki zako dhidi ya hayati JPM.Tabia hii chafu na kiburi cha polisi kilipandwa na Magufuli sasa ni muendelezo tu, kwakuwa wewe ulinifaika na utawala ule wa kidhalimu ulikaa kimya. Kwasasa haupo kwenye ulaji ndio unaleta uchuro.
Kwanza ni kukithiri kwa kashfa nyingi zinalorihusu Jeshi la polisi juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kupiga na kutesa watuhumiwa kinyume kabisa na ibara ya 13 (6)(b)(e). Malalamiko yamekuwa mengi kiasi cha kulichafua taifa letu kuwa lina jeshi la wapiga raia na watesa raia wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.
Kuibuka kwa matukio ya mauaji ambayo yamelikumba taifa letu kiasi cha kuwafanya watanzania wapate hofu kubwa. Kufululiza kwa mauaji haya yanatia hofu kuwa sasa maisha yao yapo hatarini na wauaji wamejiamini kuwa hakuna chombo kinachoweza kuwatia mikononi mwa sheria.
Kujihusisha kwa maafisa wa polisi na siasa waziwazi kiasi cha baadhi ya maafisa kukiri wazi wazi kuwa wanailinda Ccm ibaki madarakani kwa mtutu wa bunduki. Mfano ni afande Kiondo ambaye amefunguka hadharani kabisa.
Rushwa kuwa sehemu ya maisha ya jeshi la polisi huku wasio na pesa wanapotenda makosa ndio hufikishwa mahakamani ambapo wenye pesa hawagusi mahakamani kabisa.
Kwa mukutadha huu Sirro alitakiwa awe amefutwa kazi.
Utamuelewaje wakati kichwani mweupe ni makimba ya mav tu Ndo yameshehenSikuelewi mkuu.

Siyo anamstahi, bali yeye ndiyo mnufaika mkubwa wa utawala wa huyu IGP Sirro.Ni sahihi ilitakiwa afukuzwe but Rais anamsitahi pengine mda wake umekaribia.