Katiba iliyopo ni changamoto! Haitengenezi mazingira ya kuwajibika/kuwajibishana. Hivyo msubirie tu astaafu kwa mujibu wa sheria.
 
Naona unamwagia mchanga ugali wa mtu mkuu.....
 
Wanatembelea ile kauli ya "Ni upepo tu huu nao utapita..watanzania ni wasahaulifu ..watu wa matukio na trending ..so kausha litapita"

No accountability kabisa ajiuzuru wakati hajui ataishi vipi kitaa bila mshahara wala posho.

Kustaafu yenyewe huwa hawapendi ipa sheria inawalazimisha[emoji1787]
 
We jamaa Kiboko, una institutional memory ya utendaji mbaya wa polisi na hatua zake walivyowajibika. Siro kaua sana raia na kuwateka kuwapoteza wengi
 
Mzee Sirro (mkurya mwenzangu) kwa kweli kwenye baadhi ya Mambo amepwaya japo yapo aliyojitahidi kuyafanya.

Binafsi namuomba awe na huruma kwa Tundu Lissu atuambie Nani alifanya ule upuuzi na kwanini kamera ziliondolewa,ama sivo dhambi hiyo itamwandama mzee wangu
 
Mzanaki yule
 


Wampe ubalozi
 
IGP Siro komaa baba, usijiuzulu. Mbona waziri wako hajajiuzulu? Mbona waziri mkuu hajajiuzulu? Ziba masikio kabisa.
 
Sasahivi usalama wa raia siyo kipaumbele, kipaumbele ni kushughulikia wapinzani haswa CHADEMA
 
Kwenye kuchukucha kura huwa anawalinda hawaoni sababu ya maana ya kumtoa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…