Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Mruo ndio watu gani?! Ni mzanaki pure wa kiabakariNi mruo si mzanaki Wala mkurya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mruo ndio watu gani?! Ni mzanaki pure wa kiabakariNi mruo si mzanaki Wala mkurya
OkeyNi wale wale
Mzanaki!! My foot! Mzanaki anaitwa Nyakoro??Mruo ndio watu gani?! Ni mzanaki pure wa kiabakari
Na mjaluo gani anaitwa nyakoro?! Pia fahamu wazanaki wanavinasaba na wakuryaMzanaki!! My foot! Mzanaki anaitwa Nyakoro??
Toka tupate Uhuru tumekuwana IGP wengi lakini kati ya hao wote haijawahi tokea wakati Jeshi la Polisi limelaumiwa kama ilivyo chini ya uongozi wa Sirro. Enzi ya awamu ya kwanza kulitokea kashfa ya mauaji ya Shinyanga na IGP wa wakati huo ambae kwa bahati mbaya simkumbuki jina pamoja na waziri wake mzee Mwenyi na aliyekuwa mshauri wa masuala ya usalama mzee Paul Sozigwa waliwajibika kwa kujiuzulu.
Vivyo hivyo kwa mauaji ya Kilombero viongozi waliwajibika pamoja na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro hayati Chrisant Majiyatanga Mzindakaya.
Toka tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi vurugu na mauaji yamekuwa yakitokea enzi ya mzee Mahita, Saidi Mwema na wengine lakini si kwa kiwango cha kufikia enzi hizi za IGP Sirro. Maafa ya raia yanaweza kuweka kwenye makundi matatu:
1) Watu kupotea bila ya polisi kutoa maelezo yoyote au watuhumiwa kufikishwa mahakamani. Mifano no Azori Gwamba mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi, Ben Saanane msaidizi wa mwenyekiti CHADEMA, vijana watano waliopotea katika mazingira ya ktatanisha n.k.
2) Kupigwa risasi Tundu Lissu kwenye eneo lenye ulinzi wa polisi 24/7.
3) Watu kutekwa katika mazingira ya kutatanisha kama vile kutekwa kwa Mo Dewji, kutekwa kwa wasanii Nay wa Mitego na Roma Mkatoliki.
4) Watu kuuawa bila polisi kutoa taarifa za uchunguzi mifano ni diwani wa CHADEMA Namawala, maiti zilizookotwa baharini, maiti mto Ruvu nk.
5) Mbaya kuliko zote no watu kuuawa wakiwa mikomoni mwa polisi. Mfano wa karibu kabisa ni mfanyibiashara wa Mtwara na mingine mingi.
Matatizo haya yanatosha kumfanya mfanyikazi yeyote mwenye kuwajibika kuona umuhimu wa kuachia ngazi . Kama yeye haoni umuhu basi aliyemteua aone kuwa huyu mtu ameshindwa kazi na anachofanya ni kumchafua mteuzi wake aonekane anamuunga mkono kwenye masuala yote haya.
Nimeona kwa nyakati tofauti huyo IGP Simon Nyakoro Sirro akiongea na wananchi, yupo defensive, amejaa dharau kwa viongozi wake. Kwa mfano akiwa huko mkoani Tanga amesema Police hawapo responsible kwa vifo vingine ila kwa wale wahusika wa moja kwa moja KAMA WALE WALIOMUUA MFANYABIASHARA HUKO MTWARA.Toka tupate Uhuru tumekuwana IGP wengi lakini kati ya hao wote haijawahi tokea wakati Jeshi la Polisi limelaumiwa kama ilivyo chini ya uongozi wa Sirro. Enzi ya awamu ya kwanza kulitokea kashfa ya mauaji ya Shinyanga na IGP wa wakati huo ambae kwa bahati mbaya simkumbuki jina pamoja na waziri wake mzee Mwenyi na aliyekuwa mshauri wa masuala ya usalama mzee Paul Sozigwa waliwajibika kwa kujiuzulu.
Vivyo hivyo kwa mauaji ya Kilombero viongozi waliwajibika pamoja na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro hayati Chrisant Majiyatanga Mzindakaya.
Toka tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi vurugu na mauaji yamekuwa yakitokea enzi ya mzee Mahita, Saidi Mwema na wengine lakini si kwa kiwango cha kufikia enzi hizi za IGP Sirro. Maafa ya raia yanaweza kuweka kwenye makundi matatu:
1) Watu kupotea bila ya polisi kutoa maelezo yoyote au watuhumiwa kufikishwa mahakamani. Mifano no Azori Gwamba mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi, Ben Saanane msaidizi wa mwenyekiti CHADEMA, vijana watano waliopotea katika mazingira ya ktatanisha n.k.
2) Kupigwa risasi Tundu Lissu kwenye eneo lenye ulinzi wa polisi 24/7.
3) Watu kutekwa katika mazingira ya kutatanisha kama vile kutekwa kwa Mo Dewji, kutekwa kwa wasanii Nay wa Mitego na Roma Mkatoliki.
4) Watu kuuawa bila polisi kutoa taarifa za uchunguzi mifano ni diwani wa CHADEMA Namawala, maiti zilizookotwa baharini, maiti mto Ruvu nk.
5) Mbaya kuliko zote no watu kuuawa wakiwa mikomoni mwa polisi. Mfano wa karibu kabisa ni mfanyibiashara wa Mtwara na mingine mingi.
Matatizo haya yanatosha kumfanya mfanyikazi yeyote mwenye kuwajibika kuona umuhimu wa kuachia ngazi . Kama yeye haoni umuhu basi aliyemteua aone kuwa huyu mtu ameshindwa kazi na anachofanya ni kumchafua mteuzi wake aonekane anamuunga mkono kwenye masuala yote haya.
Laiti mngejua...Mzanaki yule
anasubiri afukuzwe sio ajifukuzishe kwani unadhani yeyeZIRO haijui NJAA?IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi.
Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za uendeshaji jeshi la polisi, GPO, yameibuliwa. Na jua likapatwa wakati wa uongozi wa Awamu ya 5.
Askari polisi wamekuwa wakiteka, kuua, na hata kufanya matukio ya kijambazi kwa kupewa kiburi na wanasiasa.
Sasa idara za uchunguzi za polisi zina underperform, askari inaelekea kupora imekuwa tabia, na kuna hisia wameanza kuuana kuficha ushahidi.
Mbaya zaidi imani ya wananchi kwa polisi inaendelea kushuka, hata Makamu w Rais Dr Mpango wameshaonyesha kukerwa na hali hii.
Hili limeanza kuwa jeshi la mamluki. Serikali ilifikirie sana suala la kulijenga upya jeshi hili.
Lakini Sirro yeye astaafu tu haraka, kwa heshima, kabla halijatokea tukio jingine baya.
=======
Huu ni mmojawapo kati ya mijadala inayomtaka IGP Sirro aidha kuwajibika au awajibishwe. Mingine hii hapa 👇🏾
1) IGP Sirro ama astaafu au afukuzwe kazi
2) Kwa haya yanayolikumba Taifa letu, ilitakiwa Rais Samia amfute kazi IGP Sirro
3) IGP Sirro jiuzulu ulinde heshima yako
4) IGP Simon Sirro unasubiri nini kujiuzulu kwa kashfa hizi za Jeshi la Polisi?
IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi.

Napata habari kuwa Mama ameamuru uchnguzi ufanywe kwa lile tukio la mauaji ya Mtwara.![]()
Rais Samia atumbua wakurugenzi wanne, amuweka kiporo mmoja
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Wilaya za Buchosa, Iringa, Mbeya na Singida Mjini kwa matumizi mabaya ya fedha za miradi ya maendeleo.www.mwananchi.co.tz