Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

..hoja zako zina maana kwa watu wasio na mamlaka.

..kwa wenye mamlaka au dola wanaweza kufanya tukio lolote wakati wowote mahala popote.

..eneo la tukio liliandaliwa kwa maana ya walinzi kuondolewa na Cctv nazo zimefichwa.
 
Kweli
 
Lissu ni msaliti wala hilo sio uongo.
Ndio maana alikuwa akifurahia hata mali za nchi hii zikizuiliwa nje ya nchi.

Lisuu yeye kauli yake kuu ni "IN MZUNGU WE TRUST"
Chato group
 
..hoja zako zina maana kwa watu wasio na mamlaka.

..kwa wenye mamlaka au dola wanaweza kufanya tukio lolote wakati wowote mahala popote.

..eneo la tukio liliandaliwa kwa maana ya walinzi kuondolewa na Cctv nazo zimefichwa.
Sasa jiulize kwa mambo kama hayo ya kuficha camera na kuondoa walinzi si ni rahisi kuwahisi kuwa ni serikali kama ulivyofanya? Sasa ndio tuseme wahusika hawakujali kwamba watajulikana kuwa wao ndio wanahusika?
 
..wenye mamlaka na walinzi wa area D mahali aliposhambuliwa Tundu Lissu ni serikali.

..Lissu na dereva wasingepona dunia isingejua kuwa walishambuliwa baada ya walinzi kuondolewa.

..serikali imkamate aliyeondoa walinzi huyo atasaidia kuwaongoza kwa wengine walioshiriki ktk jaribio la kumuua Lissu.
 
Sasa jiulize kwa mambo kama hayo ya kuficha camera na kuondoa walinzi si ni rahisi kuwahisi kuwa ni serikali kama ulivyofanya? Sasa ndio tuseme wahusika hawakujali kwamba watajulikana kuwa wao ndio wanahusika?

..tatizo ni kwamba Lissu na dereva hawakufa.

..vinginevyo huo mpango ulikuwa perfectly fine.

..target ilishindiliwa risasi za kutosha, uwezekano wa kupona ulikuwa less than 1%.
 
Hate ain’t gonna save your ego, utakufa tu kama mnyama.
😅😂 bwana ako magu yupo anapelekewa moto na funza, ubabe ulawiti mabavu vikowap... Wewe ndio una hate kwasabab unakufa njaa ulizoea kuwa chawa... Kafie mbele huko choko wew
 
Sasa jiulize kwa mambo kama hayo ya kuficha camera na kuondoa walinzi si ni rahisi kuwahisi kuwa ni serikali kama ulivyofanya? Sasa ndio tuseme wahusika hawakujali kwamba watajulikana kuwa wao ndio wanahusika?
Kumbuka tukio halikupangwa lifanyikie nyumbani kwake. Ndjo maana hawakujiandaa kuondoa kamera mapema.
 
..tatizo ni kwamba Lissu na dereva hawakufa.

..vinginevyo huo mpango ulikuwa perfectly fine.

..target ilishindiliwa risasi za kutosha, uwezekano wa kupona ulikuwa less than 1%.
Walikuwa wanapum Trigger under pressure. Kuua mtu asiye nahatia sio jambo dogo.

Nebkadieza aliwatupa Akina Daniel kwenye Tanuru la Moto. Wale chawa waliowasukumiza akina Daniel motoni ule moto ukashika nguo zao wenyewe wakafa. Lakini akina Daniel ule moto haukugusa hata unywele wao.
 
Doubts zote hizo zitafutwa kwa uchunguzi huru ambao haitakaa ufanyike.
 
😂😅😂 Huu uzi team Chato wanakojolewa bao nyingi hadi wanapotezana... Hawaelewi wazibe mbele au nyuma
 
Vita vya Ukraine
 
Angetakiwa kuuwawa kipi kingeshindikana?
Acheni story

..Lissu mepona kwa bahati au miujiza.

..na hiyo haina maana kwamba mpango mzima ulikuwa mbaya.

..pia walenga shabaha wasilaumiwe, walimdungua mara 16.

..yuko bwana mmoja alisalimika ktk ajali ya ndege iliyouwa watu zaidi ya 100.
 
Corona iko wapi saivi, ile kupima mapapai ilikuwa ni moja ya njia ya kujua usahihi wa vipimo katika kuleta taarifa inayoendana na uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…