Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Ukweli ni kuwa Dkt Magufuli hakuamrisha lisu auawe. Ila ni kama vile mtaani ukimtishia mtu then wachawi wanapita naye. Yeye aliongelea uzalendo. Na waliofanya hilo tukio ni Mbowe na mabeberu.
Waliofanya hivyo ni viongozi wapenda vyeo ili wapande zaidi, umesahau style za kujipendekeza awamu ya 5 zilivyokuwa zikitembea na biti za Magu.
 
Hii kauli aliyoitoa Magufuli kumwambia Spika awatimue wasaliti bungeni ili wakiwa nje washughulikiwe nae, inaonesha hapa ndipo polisi wetu walipotakiwa kuanzia uchunguzi wao dhidi ya shambulio la Lissu, ajabu polisi bado wanamsubiri Lissu arudi ili wamfanyie mahojiano.

Maneno mengi aliyozungumza Magufuli kwenye hiyo video yana viashiria vingi vya mtu aliyetaka kulipa kisasi, mfano anapomwambia Spika; "watoe huku nje tuwashughulikie, kwa sababu wakiwa kule bungeni wana immunity, wanaweza kuzungumza chochote".

Anaendelea kusema; "hatuwezi kuwa vitani, halafu tukiwa mstari wa mbele, anajitokeza mmoja wetu na kuanza kuwashambulia askari wetu, huyu tuta deal nae; bora unyamaze kimya, au ukalale".

Mpaka hapo, inashangaza bado polisi wetu hawakuona mahala pa kuanzia uchunguzi wao kuhusu shambulio dhidi ya Lissu, maneno yao yamekuwa ya kisiasa sana.
Ulitaka polisi wamsaidie nini mtu anaeshambulia askari waliopo vitani kupigania nchi yao??
 
Hospitali ipi, haikufika masaa 10 toka aliposhambuliwa akiwa hapa nchini. Na aliyeagiza asingeweza kuendelea kutoa maagizo ya unyama kuendelea maana hata yeye hakujiandaa kuwa atabaki hai. Kumbuka viongozi wa CDM walikuwa naye karibu muda wote toka walipopata taarifa ya shambulio lake. Hivyo dhalimu ilibidi ajiweke mbali ili isifahamike kuwa ni maagizo yake. Lakini ingefika 24hrs akiwa hapa nchini, lazima kamati ya roho mbaya ingeagiza hatua za kumaliza mchezo.
Magufuli kama angekuwa hataki kujulikana kama ni yeye basi toka mwanzo hata asingeagiza hilo shambulizi mchana kweupe na hali ambayo iliyokuwa ikiendelea wakati ule, ila kama Magufuli ndio alitoa maagizo basi alikuwa hana cha kuhofia ndio maana hakujali kuwa ule haukuwa muda sahihi kufanya shambulizi kwa Lissu.
 
Waliotumwa ni mamluki na wakienda kutembelea Hilo Kwa uoga na ndio maana Mungu alifanya yake kumwokoa katika Hilo janga.! Unadhani yeye aliyewatuma na kutamka hadharani Baada ya shambulio kubuma aliishi Kwa amani kweli. Pamoja na kujinasibu kwenye Nyumba za ibada ila moyoni alikuwa anaumia kivyake na Allah akaona hapa kuweka jambo sawa Kwa manufaa ya wengi.!!
Asiishi kwa amani kwa sababu ya kumshambulia Lissu ila zile maiti za kwenye viroba mlizokuwa mnamuhusisha nazo zilikuwa hazimfanyi asiishi kwa amani?
 
Intelligensi ya Chadema yote ilikuwa ikimlinda, ni vigumu baada ya kushindwa. Kilichokuwa kinaendelea ni kuficha ushahidi. angeenda Muhimbili hapo wangemmaliza. Matukio kama haya ni Unafanya mara moja ukikosea imekula kwako. Sasa zile risasi walijua wamemaliza kabisa.
Hapo umeonesha kwamba walihofia kufanya jaribio lengine si ndivyo?
 
Lissu ni msaliti wala hilo sio uongo.
Ndio maana alikuwa akifurahia hata mali za nchi hii zikizuiliwa nje ya nchi.

Lisuu yeye kauli yake kuu ni "IN MZUNGU WE TRUST"
 
Unazungumzia mauaji ya binadamu kwa namna simple sana kama vile unachinja kuku.
Suicide fatal attemts hata kwa viongozi hazifanywi au kupangwa kirahisi na wanajitahid kutoacha alama , kuna mdau humu kasema gari lililotumika kwe ye mauaji lilikuja kuchomwa moto morogoro,
Hopsitali isingewezekana kwa sababu si kila dokta angekuwa upande wa mission hiyo ovu , pia kungekuwa na kundi kubwa lenye taarifa na nia hiyo, angejaribu kufanya hivo ingelipuka kwa namna tofauti
Sasa wewe unaona walitumia akili kufanya shambulizi mchana ule kweupe huku kila mmoja akijua kuwa Magufuli na Lissu picha haziendi? Si hivyo tu bali kuna vitu vilifanyika ambavyo vinatia shaka kuwa ni serikali imehusika.
 
Wangepitia wspi, yaani waprnye inteligensi ya Kenya kumfikia Lisu! Unafikili Chadema walikosea kumkimbiza nje. Tena walipojaribu kupenys ndipo akakimbizwa Germany huko Tiss wakanywea. Kuna macho yanatazama... Kwani hata baadhi ya ccm hawakupenda ile kitu.
Wewe unazungumzia huko nje ya nchi mimi nazungumzia alipokuwa bado hajasafirishwa.
 
Nampenda mtu anayewaza nje ya box, inaweza isiwe Mbowe directly, ikawa balozi za nje, ikawa wanaCCM maadui wa serikali iliyokuwepo madarakani, au vinginevyo na inawezekana ikawa ni Magufuli mwenyewe…. Ukweli hautakuja julikana dunia hii iliyojaa wanafiki, waoga, waongo na uzandiki mtupu kuanzia chini mpaka juu kabisa, labda mbele ya safari kama kuna uhai.
Kwa tukio kama lile halafu Police au serikali ikakaa kimya bila kufanya uchunguzi wowote unaona ni kitu cha kawaida kabisa!!! Watu wanahoji IGP anadai hawawezi kufanya uchunguzi eti kwa sababu Lissu yuko nje ya nchi!! Kweli???!!! Je, ingetokea angefariki kwenye lile shambulizi kwa hiyo kusingefanyika uchunguzi wowote kwa sababu victim amekufa!!!! Ni mjinga na mpuuzi peke yake ndiye hataamini kuwa tukio lile lilikuwa na baraka zote za serikali. Hapo sijaongelea eneo TAL aliposhambuliwa.
 
Magufuli kama angekuwa hataki kujulikana kama ni yeye basi toka mwanzo hata asingeagiza hilo shambulizi mchana kweupe na hali ambayo iliyokuwa ikiendelea wakati ule, ila kama Magufuli ndio alitoa maagizo basi alikuwa hana cha kuhofia ndio maana hakujali kuwa ule haukuwa muda sahihi kufanya shambulizi kwa Lissu.

Maagizo aliyotoa hakutegemea yaliyotokea, kabla hajajua nini kifanyike Lisu akawa kahamishwa nchini, sio zaidi ya hapo. Hizo nyingine unazoleta ni porojo ukidhani utafanikiwa kupandikiza Labda labda.
 
We unajua medani za kivita zilivyo au unalopoka tu. Kama hujui kazi ile ingesimamiwa na jeshi ndio lazima tungeona shambulizi lingine. Ile kazi ilikuwa maalum chini ya kikosi kazi maalum kilichoundwa kwa maagizo maalum. Kazi yake haitakiwi kuingiliwa na kambi ingine mana hujitosheleza yenyewe. Mipango yao ikipangwa lazima ilete matukio yaliokusudiwa 100%
Ingekuwa ni jeshi kikosi hiki kikishindwa kinaendelea kingine, sasa kikosi kazi kikifanya mashambulizi kinaludi nyuma kujilinda ili kisijulikane. Pale walijua wamemaliza na kama hajakata roho basi ni masaa machache angefanya hivyo, kwa hiyo kulikuwa hakuna haja ya kuenda na sindano ya sumu mana ndio wangejulikana/kamatika kwa sababu, kuna spy wa kujitegemea waliosogea pale kwa macho ya kimedani ni ngumu kupenya kwa kikosi kaz kile labda mgonjwa angeenda muhimbili kule lazima kuna mtu aliekuwa anasubiri kuzima mashine ya kupumulia! Waliomwambia Mbowe amkimbize mgonjwa Kenya sio wajinga.
Hivyi baada ya shambulio, kilichofuata ni kurudi nyuma na kujihami. Kupoteza ushahidi ndio nguvu kubwa ilipolalia.
Kikosi kazi hiki bila shaka kilipanga tukio lionekane kama la ujambazi wa kutumia siraha. Sasa wali under estimate intelligence ya Lisu na dereva wake, kitendo cha Lisu kuchelews kushuka kwenye gari walijua nia yao imejulikana mana walitegemea Lisu ashuke aingie ndanu ya nyumba wakammalize kitu ambacho hakikutokea na wakahisi ameomba msaada kuna ulinzi unakuja pale, hivyo yakapitishwa maamuzi ya haraka. Pia kiingozi wa task force ile alikulupuka akaamlisha hicho kilichotokea(yaani piga hapa hapa tuondoke bila mmoja wetu kujeruhiwa) kwa kuogopa ile kauli ya amiri jeshi ili asipoteze ugali, mana yule jamaa ukizembea au kuchelewesha kazi akawii kukutumbua.
Wangekuwa hawataki wajulikane kabisa basi wasingefanya shambulizi kama lile wangeweza hata kumteka na tukaokota maiti au asijulikane kama yupo hai au kafa. Bado najiuliza kwanini walifikiria kufanya shambulizi lile mchana kweupe huku inajulikana Magufuli na Lissu picha haziendi?
 
Kwa tukio kama lile halafu Police au serikali ikakaa kimya bila kufanya uchunguzi wowote unaona ni kitu cha kawaida kabisa!!! Watu wanahoji IGP anadai hawawezi kufanya uchunguzi eti kwa sababu Lissu yuko nje ya nchi!! Kweli???!!! Je, ingetokea angefariki kwenye lile shambulizi kwa hiyo kusingefanyika uchunguzi wowote kwa sababu victim amekufa!!!! Ni mjinga na mpuuzi peke yake ndiye hataamini kuwa tukio lile lilikuwa na baraka zote za serikali. Hapo sijaongelea eneo TAL aliposhambuliwa.
Sasa jiulize wafanyaji wa tukio hawakujua yote hayo kwamba watashukiwa wao? Ni wazi haukuwa muda sahihi kufanya lile shambulizi na kwa aina ya shambulizi risasi mchana kweupe, ina maana wahusika hawakuyajua hayo?
 
Kazi ile sio rahisi kihivyo. Unajua kuficha ushahidi ndio kazi kubwa kuliko hata kazi yenyewe. Baada ya tukio Nguvu kubwa sana ipo hapo, tena hapa wanaweza kufa watu zaidi ya 5 ili kuficha ushahidi haiwezekani tena kurudia labda mlengwa apite kwenye mitego yao. Kitu ambacho kuna watu wanalipwa ili kukwepa hiyo mitego.
Unafikili kuunguza ile gari iliotumika yenye thamani ya zaidi ya milioni 200 na hakuna kapolisi kanakofuatilia ni kitu rahisi. Kama unaona rahisi nenda Sasa pale lilipoungua gari kajifanye kuuliza yale machuma chakavu yake yapo wapi kama na wewe hatujakusahau na wala tusiuone mwili wako!!
Umezungumzia upande wa kufuta ushahidi ila vp kukwepa kuhisiwa kuwa wao ndio wahusika? Unadhani kulikuwa na ulazima gani kufanya lile shambulizi mchana kweupe tena kwa mirisasi na huku inajulikana Lissu na Magufuli picha haziendi? Vp kuhusu camera na hilo suala la polisi achilia mbali eneo lilipofanyika tukio?

Unadhani ni vp imekuwa rahisi kusema muhusika ni Magufuli? Sasa ndio najiuliza ina maana hawakuyajua haya yote?
 
This dude deserved to die before 2015 tusinge ishi hivi hata haya yote yanayo tokea ni kutokana na mambo kuharibikia kwake...
 
Maagizo aliyotoa hakutegemea yaliyotokea, kabla hajajua nini kifanyike Lisu akawa kahamishwa nchini, sio zaidi ya hapo. Hizo nyingine unazoleta ni porojo ukidhani utafanikiwa kupandikiza Labda labda.
Mimi sileti labda labda bali nahoji ila mnaoleta labda labda ni nyie mnaojifanya mnajua hadi walichokuwa wanakiwaza hao wahusika, mimi tu naona ule haukuwa muda sahihi kufanya shambulizi na tena inashangaza shambulizi lenyewe risasi mchana kweupe katika eneo kama lile, kulikuwa na ulazima gani hao wahusika kulazimika kufanya vile kwa mtu ambaye walikuwa wakimfuatilia kwa muda?

Inashangaza.
 
Kwa tukio kama lile halafu Police au serikali ikakaa kimya bila kufanya uchunguzi wowote unaona ni kitu cha kawaida kabisa!!! Watu wanahoji IGP anadai hawawezi kufanya uchunguzi eti kwa sababu Lissu yuko nje ya nchi!! Kweli???!!! Je, ingetokea angefariki kwenye lile shambulizi kwa hiyo kusingefanyika uchunguzi wowote kwa sababu victim amekufa!!!! Ni mjinga na mpuuzi peke yake ndiye hataamini kuwa tukio lile lilikuwa na baraka zote za serikali. Hapo sijaongelea eneo TAL aliposhambuliwa.
We mtu wa ajabu usiyefahamu kuwa ni nchi hii hii Raisi ya Zanzibar aliuawa kwa risasi nani unadhani hawezi fikika, ubalozi wa Ufaransa na USA zilishambuliwa kigaidi bongo hapa hapa, kuna watu dizaini ya kina Hamza na visasi vikali naomba uelewe kuanzia leo tambua kuwa yeyote duniani anaweza fikiwa wenyewe wakiamua, inakuwa beyond Government reach, watu ni corrupt mbele ya kitu wanauza hata nchi upenyo unasetiwa.

Lisu anaogopa mpaka watu wake anashindwa sema tu hadharani, mbona wenzake wapo salama huku mpaka Sugu kumualika Numero-uno ku-launch kitabu, imagine Mwenyekiti ndani, waandamizi pande zote CCM na Chadema…tusiwe na haraka arudi yaweza kuwa yeye mwenyewe ndiye mwenye majibu police wanajaribu crack.
 
Back
Top Bottom