SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nenda Chato ukafagilie kaburi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] UNAJIDANGANYA SANA.
NA WEWE SIKU IKIFIKA UTAOKWA KAMA NDAMA.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Chato ukafagilie kaburi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] UNAJIDANGANYA SANA.
NA WEWE SIKU IKIFIKA UTAOKWA KAMA NDAMA.
Wakati mwingine ukute aliongea tu na wala hakumanisha. Si unajua watu wengine tuna bagati mbaya. Unamshika mtoto wa mtu kichwani jioni anapata homa unaanza kuitwa mchawiNi miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.
Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu
View attachment 2353218
Ni kweli kila awamu inafanya zaidi kuliko iliyotangulia sasa wewe hapo unashangaa nini?Nimecheka kwa nguvu, kila awamu ikiingia madarakani inasema yenyewe ndiyo imeweka rekodi. Kipindi cha Magufuli alisema amejenga vituo vya afya 357 nchi nzima, wapambe wa awamu ile kama ww wa awamu hii, wakawa wanaongea kwa sauti kuwa ni vingi kuliko vyote vilivyojengwa kabla ya uhuru. Sasa ww umesahau propaganda za juzi tu, unasema hivi 234 ndio vimeweka rekodi kuliko awamu yoyote!
Ni kweli kila awamu inafanya zaidi kuliko iliyotangulia sasa wewe hapo unashangaa nini?
Kwa mfano Mwendazake alianzisha Tarura na bajeti ya bil.272 miaka 5 iliyopita,akaja Mama kwa mwaka mmja tuu Bajeti inasoma Bil.802.,
Kwenye afya Mwendazake alijenga hospital 67 na vituo vya afya 400 hivi ila mama kwa Mwaka mmja anajenga hospital 28 za Wilaya,2 za Mikoa na 1 ya Kanda ya Magharibi na vituo vya afya 252 kwa mpigo plus kumalizia majengo ambayo hayakukamilika hapo awali..
Mathalani as we speak Mwendazake alipotoa amri ya Halmashauri zinazosimamia maeneo ya Vijijini zihamie Vijijini huko hakuna hata majengo yalikuwepo,as we speak majengo yamejengwa mengine yamekamikika na mengine yanamaliziwa..
So ukifanya ulinganisho ni kwamba Samia amefanya makubwa kuliko wote waliotangulia across sectors,kuanzia Kilimo Hadi ajira na weww unajua ila unaleta ubishi wa chadomo tuu nothing else..
Unapikaje data na bajeti mnaziona wazi wazi?Kwa mabingwa wa kupika data, sintoshangaa kila awamu kusema imefanya maajabu. Uzuri kinachosemwa tunakisikia, ila ukweli tunaujua.
Wewe kwa akili yako timamu unadhan papai linaweza kuwa na corona? au parachichi kuwa na malaria?NYIE WAHUNI WA CORONA MLIUMBUKA NA MACHANJO YENU FEKI.
Unapikaje data na bajeti mnaziona wazi wazi?
Kwamba hujui bajeti ya kilimo imetoka bil.204 hadi bil.954 au?
Kwamba hapa ni Takwimu zinapikwa au? 👇
Akili fupi kweli mna matatizo sana, JPM kufanya vile alikuwa anaangalia accuracy ya vipimo, kama vipimo viko sawa kwa nini vibaini virus kwenye oil chafu?Wewe kwa akili yako timamu unadhan papai linaweza kuwa na corona? au parachichi kuwa na malaria?
Naona wanataka kupamba na Roho.Hakuwa na Uwezo huo tena!!! Ulinzi wa Mungu na Wanadamu ulikwisha Mzunguka Lissu...
DuuhAlimnyoosha vizuri!
DuuhBaada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli ataonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
Tundu alikuwa msaliti wa ccm . Wasitake kutuaminisha kuwa alisaliti TaifaHatari Sana
Hapa sasa ndo unaonekana kiazi, testing kit inapaswa kupima a specific sample, tofauti na hapo itakupa incorrect result.Akili fupi kweli mna matatizo sana, JPM kufanya vile alikuwa anaangalia accuracy ya vipimo, kama vipimo viko sawa kwa nini vibaini virus kwenye oil chafu?
WellLissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini
Kwani sasa hivi Ndugai ile immunity bado anayo.
Immunity ya kushtakiwa anayo, lakini ya kutangulizwa mbele ya haki hana 😆 😆Kwani sasa hivi Ndugai ile immunity bado anayo.
Utekelezaji unaendelea.Bajeti ni mipango, uhalisia upo kwenye utekelezaji. Usishangae bajeti imetoka 204b - 954b, lakini fedha zitakazofika kwenye wizara hazifiki hata hiyo 204b ya awali. Sio mara moja tunaona utekelezaji wa bajeti wa wizara nyingi kutokuvuka hata 50% ya matarajio. Ama hili hulijui?