Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hamia Burundi
Tunataka raisi wa namna hii, wasaliti sio wa kuwachekea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka raisi wa namna hii, wasaliti sio wa kuwachekea
Taja kituo hata kimoja kilichokuwepo kabla ya tozo kuanza mwaka 2021..
Kitaje hapa kwa jina maana kwa upotoshaji uko vizuri..
Tatizo maagizo aliyatoa public na kunji define jinsi alivyo. Operator mkuu hakumfunda jinsi kagame anavyo dili na anaodili nao.
Kivyovyote vile mshahara wa dhambi ni mauti kama alitoa order bila shaka ameshapata adhabu yake. Na kama kweli lissu alikuwa kwenye njia ya kusaliti taifa naye amesha pata ijara yake
kama ana akili kuliko kupiga hela zenye kumletea matatizo ni bora angeungana na hao wanaosaini mikataba mibovu ili TISS wasimwone.
kila sehemu mtu anaweka siasa,kumbe sehemu nyingine ni maslahi ya taifa zaidi.
Ni tabia ya hovyo kumsema mabaya ya marehemu
Ukiangalia vizuri ndugu yangu hapo huo mfano ni mzuri tu hauna kasoro yoyote:
Alikua anawazingumzia Ma-SNITCH au kiswahili kozuri Wasaliti
Wapo hata kwenye familia zetu snitch yupo tayari akuroge uwe na maisha magumu au ikiwezekana ufe kabisa upotelee uko ili yeye afurahi
Hakuna alipotaja Lisu hapo mboni ni story ya kawaida tu hio na inaeleweka sema wewe ume-generalize mambo tuwe na kiasi jamani sio vizuri
Hata wewe ukiwa unafanya mambo yako akajitokeza snitch mmoja anaenda kinyume na wewe unavyotaka lazima mzinguane hio ni matter of nature hakuna binadamu mwenye moyo wa chuma bro
Mimi binafsi nachukia sana u-snitch for real yaan I am telling you yaan ukiniletea u-snitch we are done nakuzima mazima kuanzia mawasiliano piga block naku-ignore for life kila kitu sikufuatilii usinifuatilie na sina tena time na weewe haijarishi wewe ni ndugu yangu baba yangu shangazi yangu au wewe ni nani yangu sipendi kabisa ma-snitch
Ukileta u-snitch nakuzima ma zi ma
Hapana huo ulikuwa ni ujumbe kwa wasaliti wengine pia. Wakati anaongea haya tayari mawasiliano ya tundulissu yalidukuliwa na TISS akiomba nyaraka kutoka Barrick ili awasaidie namna ya kupambana na serikali.
Kwa lugha nyingine tundulissu aliamini anapambana n Magufuli badala ya kupambania taifa. Hiyo mentality ya kuamini anapambana na mtu ndio iliyomletea ulemavu wa kudumu. Vinginevyo hadi sasa angeendelea kusimama kwenye vizimba vya mahakama akiwapambania watanzania.
Kwa chini weka Kauli ya Samia pia....
Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania....
Huenda ikawa lost in translation au kutokuelewa maana ila ndio hivyo tena kama tunaunganisha statements na matukio ya baadae...
Ofcourse don't get me wrong statement ya JPM haikuwa statement ya kutoa head of state sababu indirectly vichaa wanaweza wakatumia hio statement na kufanya mambo ya ajabu wakidhani wanafanya for the country....
Propaganda za Vibaraka na Usaliti wa Wasaliti
Ni wapi mzalendo anapokuwa msaliti na mtetea anachokiamini anapoitwa Kibaraka, na ni wakati gani hayo maneno yanakuwa propaganda za kumtoa mtu kwenye mstari ? Mpaka pale tutakapoanza kusikiliza ni nini kimesemwa na sio nani kasema, na vilevile tutakapotaka kujenga umoja na utaifa (ubinadamu) na...www.jamiiforums.com
Wewe hicho chako ni Cha lini? Kuna kitu hamuelewi na unahitaji kueleweshwa..Mkonoo Arusha kwa wakwe zangu. Na ukitaka tumalize mchezo vizuri, waambie wale wenye lile jedwali waongeze column ya muda wa ujenzi wa kituo kuanza kama hujakimbia. Kwa taarifa yako muda wa ujenzi kuanza haukuachwa kwa bahati mbaya, bali waliogopa kuumbuka zaidi ya walivyoumbuka. Na hata ukiingia kwenye wachangiaji wengi wa ule uzi, na mitandao mingine kuhusu lile jedwali, wanaonyesha kabisa list ile ni ya kupika kwani hivyo sio vituo vya tozo.
Vitu wakifanya mabeberu inakuwa complicated. Ni kama hawa hawa mabeberu walivyomuua Dkt Magufuli kwani kuna uchunguzi umefanyika?Nyooo, sasa ugumu ulikuwa wapi kwa Magu kuitisha uchunguzi wa shambulio lile!?
Unadhani kuanzisha uzi ni kama kutuma SMS.., ndio maana kuna unlimited replies / comments / posts ili kila mtu akiona cha kuongezea / kupunguza kwa upande wake anachangia..., unless am mistaken that's what JF is all about.... na kwa mtaji huo nitakuwa siongezi quantity za duplicatesAnzisha uzi unaohusu hayo.
Wewe hicho chako ni Cha lini? Kuna kitu hamuelewi na unahitaji kueleweshwa..
Kuna vituo vya afya kwa baadhi vilikuwa vipo ila havina uwezo wa kulaza wagonjwa,kufanya upasuaji wa kati na havina vyumba vya maiti..
Vituo hivyo vimeongesewa majengo husika na wadi Ili viweze kufanya hizo operations kadha WA kadha..Na hivi ni vichache, kwenye hiyo Orodha hata 30 havifiki..
Baada ya kuaibika mkaja na uzushi mwingine wa kudai ni vituo vya afya vya covid,hizi sio akili bali ni matope kwa sababu hakuna kituo Cha afya hata kimoja kimejengwa na pesa ya covid..
Pesa ya covid ilichofanya ni kujenga baadhi ya majengo ya huduma za dharura kwenye baadhi ya vituo vya afya vilivyokuwa na sifa hizo na hospital zote za Wilaya na hospital zote za Mikoa..
Kwa hiyo acheni upotoshaji wa kijinga na blaa blaa kibao eti hawajaweka muda,tozo zimeanza mwaka Jana 2021 na zilianzia na vituo vya afya 150 awamu ya kwanza na vilitangazwa na vikaendelea kuongezwa kadiri ya pesa inavyopatikana..
Yaani wataje kituo ambacho hakikuwepo harafu waogope kuweka mda kwa kisingizio cha kuumbuka?
Acha upuuzi Mzee,lipa tozo Kwa maendeleo,hii Nchi ina mahitaji makubwa Sana ya kila sekta na hususani Vijijini ambako wewe na wapuuzi wengine mnawanyonya wanavijiji..
Hiyo mbona hujaifafanua kinagaubaga mkuu..?Anaendelea kusema; "hatuwezi kuwa vitani, halafu tukiwa mstari wa mbele, anajitokeza mmoja wetu na kuanza kuwashambulia askari wetu, huyu tuta deal nae; bora unyamaze kimya, au ukalale".
Ni panick kwa sababu ipi Mzee? Ujenzi unaweza kuwa extension,ukarabati au structure mpya..Usipanick mzee, waambie hivi kwenye lile jedwali waweke muda wa ujenzi kuanza au extension na gharama zake. Kisha uje ulete porojo zaidi. Wao wanasema ujenzi ni wa vituo 234 na sio ukarabati, au kuongezea kitu sijui kitanda cha kulala, au kuweka vifaa tiba na porojo za aina hiyo. Kama kuna vituo vilikuwepo, kwanini wasiseme kuwa kwenye hivyo vituo 234 kuna ambayo vilikuwepo lakini wakaweka vifaa tiba, au kuongeza majengo?
Mbona Putin na obama na bush wapoTatizo maagizo aliyatoa public na kunji define jinsi alivyo. Operator mkuu hakumfunda jinsi kagame anavyo dili na anaodili nao.
Kivyovyote vile mshahara wa dhambi ni mauti kama alitoa order bila shaka ameshapata adhabu yake. Na kama kweli lissu alikuwa kwenye njia ya kusaliti taifa naye amesha pata ijara yake
Ni panick kwa sababu ipi Mzee? Ujenzi unaweza kuwa extension,ukarabati au structure mpya..
Mda unajulikana ni kuanzia July 2021 na kuendelea ndipo hayo yalifanyika na yanaendelea kufanyika..
Walishasema mara nyingi,vifaa tiba vinanunuliwa bajeti ya mwaka huu..
Nimekwambia hivi kiujumla vituo vipya ni 252 na vya tozo ni 234 wewe elewa hivyo..Hii rekodi haijawahi weka na awamu yeyete hapo kabla..
Tozo ndio zinafanya Tarura kujenga maelfu ya barabara Nchi nzima,tozo ndio zinafanya tunaanza kuona maji ya Bomba Vijijini via Ruwasa ,tozo ndio zinaleta mapinduzi sekta ya Afya na tozo pia zimewapa mikopo wanafunzi wa Elimu ya Juu..
Naishauri Serikali iwe na mfuko maalumu wa pesa ya tozo Kwa ajili malengo mahsusi badala ya kuingia mfuko mkuu wa serikali..👇
Muda haukutosha angelala pale mpaka asubuhi wangemaliza kaziKwahiyo ilikosekana nafasi ya kummaliza pale alipokuwa hospitali hapa Tz?
Safi sana wasaliti hawatakiwi kuwa hai