Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchawi ndio wewe unaibuka na lugha tofauti na andiko! Ujinga.Wachawi akina Mbowe na genge lake la mabeberu walitumia huu mwanya kutaka kuichonganisha serikali na wananchi. Hakika Lissu ataendelea kuwa msaliti
Waliotumwa ni mamluki na wakienda kutembelea Hilo Kwa uoga na ndio maana Mungu alifanya yake kumwokoa katika Hilo janga.! Unadhani yeye aliyewatuma na kutamka hadharani Baada ya shambulio kubuma aliishi Kwa amani kweli. Pamoja na kujinasibu kwenye Nyumba za ibada ila moyoni alikuwa anaumia kivyake na Allah akaona hapa kuweka jambo sawa Kwa manufaa ya wengi.!!Kwani angetaka kumuua si angemmaliza tu au unadhani kipi kilishindikana kummalizia Lissu baada ya kutoka hai kwenye lile shambulizi?
Kama Magufuli aliweza kumshambulia Lissu katika kipindi hicho bila kuhofia kujulikana kwamba atajulikana kuwa ni yeye sasa ni sababu ipi iliyofanya asimmalizie baada ya kujulikana Lissu hakufa? Ni kwamba aliogopa nini ambacho hakukiogopa mwanzo?
Intelligensi ya Chadema yote ilikuwa ikimlinda, ni vigumu baada ya kushindwa. Kilichokuwa kinaendelea ni kuficha ushahidi. angeenda Muhimbili hapo wangemmaliza. Matukio kama haya ni Unafanya mara moja ukikosea imekula kwako. Sasa zile risasi walijua wamemaliza kabisa.Kwani angetaka kumuua si angemmaliza tu au unadhani kipi kilishindikana kummalizia Lissu baada ya kutoka hai kwenye lile shambulizi?
Unazungumzia dunia ya mexico drug cartels ,italian mafia, japannese yakuza .and the likes , msaliti ni mtu anayetoa siri za ndaniNenda popote duniani dawa ya msaliti ni risasi, sumu au kunyongwa
Unazungumzia mauaji ya binadamu kwa namna simple sana kama vile unachinja kuku.Hoja yangu ni kwamba shambulizi la kutaka kumuuwa Lissu lilikuwa ni moja tu hivyo nachosema kama Magufuli angetaka kivyovyote vile Lissu afe basi angemmalizia huko huko hospitali ili kukamilisha kusudio lake.
[emoji1787][emoji1787][emoji119]Dawa yako ni tozo tu, mpaka pumbu zipauke, CCM sio ya kwako, wewe kwao ni pawn tu, umeona nafasi za ubunge wa EA, zimeenda wapi!? Watoto wa vigogo!! Ambao walipomaliza vyuo tu, wakiwa kwenye 24yrs tu, wakapewa nafasi ubalozini, wewe unatembeza bahasha ya kaki
Wewe ndo unaona hakupoteza kitu...Alikufa katika umri ambao wataalam tunaita 'late age" so hatukupoteza kitu.
Jiwe liliishi umri mzuri na lilionesha tofauti ya uswahili na u-mkoani[emoji1787][emoji1787]
Nafasi aliyoishika kuna watu kizazi chake na kizazi kamwe hawatoishika wataishia tu kuwa na vijikadi vya chama na kutumika kama karatasi.
Rest in peace , John Pombe Magufuli
KWELI TUPU, UMEONGEA100%Kwa kile kilichokuwa kinatokea kwenye chaguzi zetu chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kudhibitisha kuwa magufuli hakuwa kiongozi muadilifu.
Wangepitia wapi, yaani wapenye inteligensi ya Kenya kumfikia Lisu! Unafikili Chadema walikosea kumkimbiza nje. Tena walipojaribu kupenya ndipo akakimbizwa Germany huko Tiss wakanywea. Kuna macho yanatazama... Kwani hata baadhi ya ccm hawakupenda ile kitu.Ugumu upo wapi maana wasingetumia silaha kama wameweza kumshambulia kwa risasi mchana kweupe bila woga ndio waogope kummaliza tu kiulaini hospitali tena akiwa hali mbaya?
Utekelezaji unaendelea.
Kwani mimi Niko wapi?Sio kama mnavyomwaga mapambio, wanaoona utekelezaji wa hayo mafungu ni walioko kwenye ofisi za hizo wizara, maana wao ni wafaidika kwa hizo fedha na sio wananchi kama inavyotakiwa.
Sijui uko wapi zaidi ya kukuona hapa jf na fake I'd.Kwani mimi Niko wapi?
Mungu atakuwa ametusaidia kwa wewe kufa?Mtanisema jinsi nilivyoishi na matendo yangu
We unajua medani za kivita zilivyo au unalopoka tu. Kama hujui kazi ile ingesimamiwa na jeshi ndio lazima tungeona shambulizi lingine. Ile kazi ilikuwa maalum chini ya kikosi kazi maalum kilichoundwa kwa maagizo maalum. Kazi yake haitakiwi kuingiliwa na kambi ingine mana hujitosheleza yenyewe. Mipango yao ikipangwa lazima ilete matukio yaliokusudiwa 100%Kwahiyo ilikosekana nafasi ya kummaliza pale alipokuwa hospitali hapa Tz?
Kazi ile sio rahisi kihivyo. Unajua kuficha ushahidi ndio kazi kubwa kuliko hata kazi yenyewe. Baada ya tukio Nguvu kubwa sana ipo hapo, tena hapa wanaweza kufa watu zaidi ya 5 ili kuficha ushahidi haiwezekani tena kurudia labda mlengwa apite kwenye mitego yao. Kitu ambacho kuna watu wanalipwa ili kukwepa hiyo mitego.Hoja yangu ni kwamba shambulizi la kutaka kumuuwa Lissu lilikuwa ni moja tu hivyo nachosema kama Magufuli angetaka kivyovyote vile Lissu afe basi angemmalizia huko huko hospitali ili kukamilisha kusudio lake.