Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

The Guy was Right as a leader
As a leader he was wrong maybe as a ruthless dictator, of which he was!! But the right verdict was delivered by God on March 17, 2921. Magufuli now is nothing but stinking manure
 
Nia ya kuleta huu Uzi ni😂😂😂
Shie...sana.
Nia ya kumleta Uzi hii ni kuonyesha kuwa kuanzia Novemba 2015 hadi March 2021 Tanzania ilikuwa inaongizwa na KICHAA. Asante Mungu kw maamuzi
 
Utaje huo ugumu ili nami nijifunze, hivi mashambulizi yale kwa Lissu mchana kweupe kwa tena huku inajulikana wazi kuwa Lissu na Magufuli haziivi wewe unaona hakukuwa na ugumu kama huo ndio waje kuogopa kummalizia huko hospitali?
Usibishane na mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye... (Mithali 26:4). Achaneni na Tz mbongo ni mpumbavu
 
WE BWABWA UNA FANTASIES ZA AJABU SANA.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

JEHANUM NDIO WAPI SASA?

KWAHIYO UNAJISKIA RAHA MWENYEWE MAGU AKIWA JEHANUM? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Magufuli yuko jehanum hata Mimi nafurahi kwa kweli
 
As a leader he was wrong maybe as a ruthless dictator, of which he was!! But the right verdict was delivered by God on March 17, 2921. Magufuli now is nothing but stinking manure
Rubbish
 
Hapana huo ulikuwa ni ujumbe kwa wasaliti wengine pia. Wakati anaongea haya tayari mawasiliano ya tundulissu yalidukuliwa na TISS akiomba nyaraka kutoka Barrick ili awasaidie namna ya kupambana na serikali.

Kwa lugha nyingine tundulissu aliamini anapambana n Magufuli badala ya kupambania taifa. Hiyo mentality ya kuamini anapambana na mtu ndio iliyomletea ulemavu wa kudumu. Vinginevyo hadi sasa angeendelea kusimama kwenye vizimba vya mahakama akiwapambania watanzania.
Zile myth ukipambana na mafisadi ccm unaonekana unapamba na taifa🤣🤣
 
Kwani shida ni nini juu ya hii kauli. Alimaanisha alichokisema wala haihitaji forensic. Yeye ni mtawala na wewe unatumwa kudanganya wananchi tukikamata makinikia wawekezaji watakimbia, mara tutashitakiwa MIGA au taifa litafilisiwa. Dawa ya waropokaji alikuwa nayo huyo Mwamba.
Kwani mpaka leo makinikia yako wapi?
 
Wazee wa nyamongo wanampenda sasa Lissu. Lissu aliwapambania wakazi wa nyamongo kuhusu haki katika umiliki wa rasilimali chupuchupu auawe.

Wasiojua historia ya Lissu hawawezi kumwelewa fika nia yake, ila kiufupu lissu sidhan kama ni mwanasiasa bali mtetezi wa wanyonge, na ni kazi aliyoifanya kabla ya siasa.

Kikwete alikuwa anaukubali Sana uwezo wa lissu, na hata Samia ukimwangalia kabisa unaona anajua fika Lissu ni mtu wa aina gani , na alimthamini na anathamini mchango wake.

*Magufuli was very evil, na alipendwa kutukuzwa zaidi ya Mungu.

*Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kwenda kutukana/kukejeli kanisani/msikitini kama Magufuli.

*Alikuwa ana dharau, unafki, na ujuaji wa KIJIMA. Ni Rais pekee aliyekuta CORONA kwenye mapapai na fun base yake ikawa inaona ana akili sana kumbe ni upumbavu mtupu.
Never underestimate the power of foolish people in large groups.


Wajinga walio weñgi Tanzania wameamua mjinga mwenzao Magufuli awe shujaa wao
 
Halafu kuna wale watetezi wa DIKTETA wanakuambia eti Magufuli anachafuliwa? Unamchafuaje mwehu kama huyu anayetangaza kwenye mkutano wa hadhara kuwa "msaliti" huuawa na few hours jaribio la kumuua Lissu linafanyika.

Isitoshe kusema ukimpangia kumdhuru mtu mwema kama Lissu, Shetani anakuingia anakuacha uropoke kama alivyoropoka Magufuli ili tupate ushahidi. Mungu hakupenda adhma mbaya ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Lissu kwa vile Lissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini.

Wakati huo Magufuli alikuwa kimya kwenye Kambi ya CCM ambapo Lissu na upinzania walikuwa wanapambana na Serikali bungeni hadi kutoka nje ya Bunge kukataa kuwa rubber stamp ya Sheria mbaya za madini.

Mungu asingeruhusu dhuluma kama hii itokee kwa Lissu hivyo, Magufuli akashindwa kumuua na hatimaye akafa yeye Machi 17, 2021.

Hata kama huamini Mungu, kwenye hili tukio la Lissu na Magufuli Mungu alisima katikati kama alivyosimama dhidi ya Nebukadineza alipotaka kuwadhuru akina Nabii Daniel na hawa akina Meshack, Abdenengo na Shadrack (Danieli 1-3). Muacheni Mungu aitwe Mungu
Wewe kwa akili yako unahisi Magufuli alikufa a natural death😁😁😁? Few bastards made to believe that pathetic lie...

Well imekuwa ndio mfumo wa fisi for years eating another mans flesh while its still breathing.
 
Magufuli is disgrace for this nation. Hamna mtu mwenye utimamu wa akili anayeweza kuona alikuwa mtu wa maana.

Alikuwa mtu wa kupandikiza chuki na utengani baina ya jamii. Mwenye upendeleo wa wazi kwenye cake ya taifa na aliyependa kuabudiwa kama mungu. Rest in hell Magufuli.
Mada ni kuhusu msaliti wa taifa kuuawa! Na hilo lilipata angalizo linalostahili - kama ilivyo popote duniani.
 
Lissu used to be smart sijui ni nini kilichomkuta akajiunga na genge la kifisadi la nchi hii. Alikutwa na nini huyu kijana?

Siqsa mziachie wenyewe tangu nilipojuwa ipuuzi huu ndipo nilipoanza kimuelewa jpm

Haiwezekani mtu unapiga kelele wewe ni mzalengo unatetea wanyonge kumbe nyuma ya pazia unakula sahani moja na genge la mafisadi.

Kweli jpm alipitia kipindi kigumu hicho kiti hakikaliki kirahisi.

Sio wote mtaelewa hii movie ila huo ndo ukweli. Kudeal na wenye nchi yao yataka moyo.

Hii nchi bana lazima utafutiwe watakao kuumiza kichwa kumbe wana ulinzi binafsi
 
Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.

Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu.

View attachment 2353218

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.

Ahukumiwe kutokana na matendo yake aliyoyafanya hapa Duniani!
 
Never underestimate the power of foolish people in large groups.


Wajinga walio weñgi Tanzania wameamua mjinga mwenzao Magufuli awe shujaa wao
Ukiita watu wajinga unakosea, binafsi nilikuwa naelewa falsafa za huyo mwamba. Pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa determined na mission zake ilikuwa ni kutoboa tu.

Ambaye alitaka kuleta usiku kwa namna yeyote alichezea kibano. Its practical and natural ukiwa Alpha. Otherwise huta accomplish chochote katika hii dunia ila nashangaa inavyokuwa amplified kama vile Magufuli sio binadamu. Au sababu wewe huonekani unavyopambana na wapinzani wako katika kupigania maslahi yako kwenye media ndio unajiona msafi.
 
Back
Top Bottom