Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Huo ukuu wa Mungu aliogopa kwa Lissu tu ila zile maiti za kwenye viroba mlizokuwa mnamuhusisha nazo hakuwa akiogopa ukuu waungu?Aliogopa ukuu wa mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ukuu wa Mungu aliogopa kwa Lissu tu ila zile maiti za kwenye viroba mlizokuwa mnamuhusisha nazo hakuwa akiogopa ukuu waungu?Aliogopa ukuu wa mungu
Ni hivi, ni rahisi kabisa kumtuhumu Magufuli au serikali hata mtoto mdogo anaona hilo wala haliitaji akili kubwa ila nachojiuliza ni kwamba hivi walifanya uzembe hawakujua kwamba wamefanya mambo ambayo yatafanya wahisiwe wao moja kwa moja?Ukitaka kujua kuwa ni maagizo ya dhalimu, jiulize ni nani alitoa amri ya askari wanaolinda gate wasiwepo hapo getini siku hiyo. Na kama polisi kweli hawakupokea amri kutoka juu kwa dhalimu kuhusu hilo shambulio, mbona hawajaanza na askari waliopaswa kuwepo getini na hawakuwepo. Hapo mchezo mzima umeisha.
Naona kila mmoja ana maoni yake.Hilo shambulizi halikupangwa na TISS kama watu wanavyofikiri. Bali lilipangwa na Empty Head Daudi Bashite na Richard Musalika Makungu aliyekuwa incharge wa Operations za TISS.
Modest Kapilimba alitaarifiwa tu lakini hakubariki huu upuuzi ufanyike. Sasa wanaoshangaa kwa nini lilifeli wajiulize je Bashite aliyefeli O-level na kufoji cheti cha Makonda kweli anaweza akawa ndiye mtu tegemewa kuratibu operation kama hiyo?
Wewe tunakujua ni sababu alikubutua akakuachia kilema!Magufuli ni hero wa wapumbavu kama wewe. Magu alizima uhuru wa maoni, alitishia kuvufingia vyombo huru vya habari. Akalitawala Bunge kutokea Ikulu kwa remote, na kuitisha Mahakama. Still unasema alikuwa ana nia nzuri? Hiyo ndiyo dhana ya MADIKTETA wote Kama akina Hitler, Mussolini nk. Huwekeza mtaji kwenye foolish population na huonekana watetezi wa wanyonge.
Ali deal na wasaliti ama hakutaka kusikiliza maoni mbadala yaliyokuwa yanatolewa kwa njia halali bila kificho? Anyway, JPM is now history.Baada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli ataonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
Ni hivi, ni rahisi kabisa kumtuhumu Magufuli au serikali hata mtoto mdogo anaona hilo wala haliitaji akili kubwa ila nachojiuliza ni kwamba hivi walifanya uzembe hawakujua kwamba wamefanya mambo ambayo yatafanya wahisiwe wao moja kwa moja?
Unamfuatilia mtu muda wote ila unakuja kumshambulia mchana kweupe kwenye eneo lenye ulinzi, unaenda kutoa camera,unatoa walinzi. Nashindwa kuelewa kuelewa kabisa jambo hili.
Kwani Lissu ni nani?wamekula chuma wanaharakati mashuhuri Duniani akina Martin Luther baadaye Rais Kennedy baada ya kwenda kinyume na serikali.
Acheni ushamba ukipambana na dola matokeo ni mawili aidha ufe au uishi,sasa unataka kuwa mwanaharakati kuishambulia serikali alafu unataka uwe salama,kweli?
Muulizeni Hichilema aliyopitia,katika battle yoyote yupo atakayeshinda na atakayeshindwa na ndiyo maana wakati mwingine mwanaharakati anashinda na Serikali inaanguka au viceversa.Siyo kila siku kutupigia kelele juu ya Lissu, ndiyo maisha aliyochagua,yakimpata ni yake.
Ata Magufuli na yeye vita yake iliishia njiani baada ya maadui zake kumzidi Maarifa na leo hatunaye.
Wow! bad manners kutusi watu.Walijuwa wewe mjinga tu kwa muonekano wa kichwa chako na macho yako (mongol). Wakakusifia UJINGA nawe ukafurahi.
😂😂😂May be,naendelea kuenjoy Somali land na masudanese hapa.Labda ulikuwa Somalia au Sudan kusini, huko ndio pekee wangeweza kusifia Tz chini ya dhalimu.
😂😂😂May be,naendelea kuenjoy Somali land na masudanese hapa.
Magufuli ni hero hakuna kitu kitachange.
Hilo swali unalojiuliz kila mtu anajiuliza na ndio msingi wa mleta ThreadNi hivi, ni rahisi kabisa kumtuhumu Magufuli au serikali hata mtoto mdogo anaona hilo wala haliitaji akili kubwa ila nachojiuliza ni kwamba hivi walifanya uzembe hawakujua kwamba wamefanya mambo ambayo yatafanya wahisiwe wao moja kwa moja?
Unamfuatilia mtu muda wote ila unakuja kumshambulia mchana kweupe kwenye eneo lenye ulinzi, unaenda kutoa camera,unatoa walinzi. Nashindwa kuelewa kuelewa kabisa jambo hili.
Kumbuka umri aliokufa nao Yesu!Ukiona Mungu ameruhusu kiongozi mkubwa wa Taifa kuondoka katikati ya utawala wake, yakupasa kujiuliza sana aina ya uongozi wake!
MUNGU HAPENDI UONEVU, MUNGU HADHIHAKIWI
Hee kumbe kuna nyingine tena?Nitafutie ile aliyovujisha Kigogo2014
Wewe kama Nani uyajue mawazo ya MunguUkiona Mungu ameruhusu kiongozi mkubwa wa Taifa kuondoka katikati ya utawala wake, yakupasa kujiuliza sana aina ya uongozi wake!
MUNGU HAPENDI UONEVU, MUNGU HADHIHAKIWI
Hawa watu wanaoutetea ukatili na ujinga wa mwendazake badala ya kutoa kauli za kumuombea msamaha wanazidi kutia hasira kwa wote walioathirika naye.Hivi ile vita vya kiuchumi alianzisha Magufuli nani alishinda. Zile raslimali zetu alizosema analinda, mbona hatuoni zikitumika ili zituokea na hizi tozo? Au alitumia kivuli cha raslimali ili kuhalalisha ukatili wake kwa watu aliokuwa hawapendi?
Nasikia hata Nairobi Rais Kenyatta aliweka ulinzi mzuri tuu kwa Lissu asidhuriweKwa taarifa yako hakutegemea hatakufa maana yeye sio Mungu. Na ifahamike Lisu aliwahishwa Nairobi sehemu ambayo hakuwa na mamlaka nayo. Ingekuwa alipelekwa Muhimbili kama alivyotaka, leo hii Lisu na yeye wangekuwa na sifa ya marehemu.
Mgufuli ilikuwa ni walking carcass, covid ilikuja kummalizia tu, asikudanganye mtu kuwa kauawa. Nenda pale kwa Prof Janabi au Prof Mchembe ukaone rekodi zake.Wewe kwa akili yako unahisi Magufuli alikufa a natural death😁😁😁? Few bastards made to believe that pathetic lie...
Well imekuwa ndio mfumo wa fisi for years eating another mans flesh while its still breathing.