nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
wewe si mzima, huo u hovyo wa magufuri unaweza kuuweka hapa, na ambao sio u hovyo wa viongozi unaowapenda ni upi?Hawa watu wanaoutetea ukatili na ujinga wa mwendazake badala ya kutoa kauli za kumuombea msamaha wanazidi kutia hasira kwa wote walioathirika naye.
Wasilojua ni kuwa wanaweza kuwafanya watu wawe na chuki mpaka kwa mjane wake Janet na watoto wake pia.
Wasituletee ujinga, yule jamaa alikuwa kiongozi wa hovyo sana kupata kutokea katika nchi hii
manina zenu.