Anandunda wakati mwenzako katiwa ulemavu, hakuna Lissu alichoshindana zaidi ya kujikuta anashambuliwa na kupata bahati ya kutoka hai sasa huo ushindi sijui hata wa aina gani na wakati wewe unamuona mshindi yeye bado hayupo hata kisaikolojia toka atokewe na lile tukio.
..sisi tunaendelea kumshukuru MUNGU kwamba Lissu bado yuko hai anadunda.
..hata kama Lissu angepata ulemavu na kutembea kwa kutambaa bado tungemshukuru MUNGU.
..Lissu yuko vizuri tu kiakili na kisaikolojia. Baada ya kushambuliwa ameandika kitabu cha historia ya mabunge ya Afrika Mashariki.
..Kwa kifupi anafanya vizuri kuliko wengi walivyotarajia baada ya tukio la Sept 7, 2017.