Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kuna waTZ (hasa wanaccm) ambao huwa wanaweza kumpenda mtu utadhani wamelishwa limbwata.Wanaompenda Magufuli ni makundi makubwa ya wajinga ambao ndiyo wengi Tanzania. Unaongelea vyeti feki wakati yeye mwenyewe Magufuli alikuwa na PhD feki. Unaongelea ufisadi wakati yeye Magufuli amekufa bika kujibu tuhima za matumizi mabaya ya Tsh 2.4 Trillion zilizohojiwa na CAG Prof Assad.