Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Taja kituo hata kimoja kilichokuwepo kabla ya tozo kuanza mwaka 2021..

Kitaje hapa kwa jina maana kwa upotoshaji uko vizuri..

Mkonoo Arusha kwa wakwe zangu. Na ukitaka tumalize mchezo vizuri, waambie wale wenye lile jedwali waongeze column ya muda wa ujenzi wa kituo kuanza kama hujakimbia. Kwa taarifa yako muda wa ujenzi kuanza haukuachwa kwa bahati mbaya, bali waliogopa kuumbuka zaidi ya walivyoumbuka. Na hata ukiingia kwenye wachangiaji wengi wa ule uzi, na mitandao mingine kuhusu lile jedwali, wanaonyesha kabisa list ile ni ya kupika kwani hivyo sio vituo vya tozo.
 
Usaliti wa taifa ni nini na Nani huwa anatoa hukumu ya wasaliti wa taifa ?
 
kama ana akili kuliko kupiga hela zenye kumletea matatizo ni bora angeungana na hao wanaosaini mikataba mibovu ili TISS wasimwone.

kila sehemu mtu anaweka siasa,kumbe sehemu nyingine ni maslahi ya taifa zaidi.

Hao waliosaini hiyo mikataba mibovu walikuwa wanaweka siasa kwenye kila sehemu, au maslahi ya taifa kwao haikuwa jambo la maana? Inshort hujatetea chochote zaidi ya kupoteza MB zako.
 
Wewe mchawi una akili za teja, upuuzwe kwa sababu hujui hata unachosema.
 
Aliyekuwa makamu wa Rais wa Acacia kampuni tanzu ya Barrick, Deo Mwanyika ni mbunge wa Njombe bungeni sasa hivi.
 
Anzisha uzi unaohusu hayo.
 
Wewe hicho chako ni Cha lini? Kuna kitu hamuelewi na unahitaji kueleweshwa..

Kuna vituo vya afya kwa baadhi vilikuwa vipo ila havina uwezo wa kulaza wagonjwa,kufanya upasuaji wa kati na havina vyumba vya maiti..

Vituo hivyo vimeongesewa majengo husika na wadi Ili viweze kufanya hizo operations kadha WA kadha..Na hivi ni vichache, kwenye hiyo Orodha hata 30 havifiki..

Baada ya kuaibika mkaja na uzushi mwingine wa kudai ni vituo vya afya vya covid,hizi sio akili bali ni matope kwa sababu hakuna kituo Cha afya hata kimoja kimejengwa na pesa ya covid..

Pesa ya covid ilichofanya ni kujenga baadhi ya majengo ya huduma za dharura kwenye baadhi ya vituo vya afya vilivyokuwa na sifa hizo na hospital zote za Wilaya na hospital zote za Mikoa..

Kwa hiyo acheni upotoshaji wa kijinga na blaa blaa kibao eti hawajaweka muda,tozo zimeanza mwaka Jana 2021 na zilianzia na vituo vya afya 150 awamu ya kwanza na vilitangazwa na vikaendelea kuongezwa kadiri ya pesa inavyopatikana..

Yaani wataje kituo ambacho hakikuwepo harafu waogope kuweka mda kwa kisingizio cha kuumbuka?

Tena nashangaa kwa nini wanatoa Orodha ya vituo 234 wakati kuna vituo vinginevyo vipya ambavyo vimejengwa kwa mapato ya ndani ya Halmashauri,ukijumlisha na hivi kwa jumla ni 252 na mojawapo ni kituo Cha Afya cha Chapwa, Halmashauri ya Mji Tunduma na vingine navyovifahamu vipya..

So Acha upuuzi Mzee,lipa tozo Kwa maendeleo,hii Nchi ina mahitaji makubwa Sana ya kila sekta na hususani Vijijini ambako wewe na wapuuzi wengine mnawanyonya wanavijiji..
 
Nyooo, sasa ugumu ulikuwa wapi kwa Magu kuitisha uchunguzi wa shambulio lile!?
Vitu wakifanya mabeberu inakuwa complicated. Ni kama hawa hawa mabeberu walivyomuua Dkt Magufuli kwani kuna uchunguzi umefanyika?
 
Anzisha uzi unaohusu hayo.
Unadhani kuanzisha uzi ni kama kutuma SMS.., ndio maana kuna unlimited replies / comments / posts ili kila mtu akiona cha kuongezea / kupunguza kwa upande wake anachangia..., unless am mistaken that's what JF is all about.... na kwa mtaji huo nitakuwa siongezi quantity za duplicates
 

Usipanick mzee, waambie hivi kwenye lile jedwali waweke muda wa ujenzi kuanza au extension na gharama zake. Kisha uje ulete porojo zaidi. Wao wanasema ujenzi ni wa vituo 234 na sio ukarabati, au kuongezea kitu sijui kitanda cha kulala, au kuweka vifaa tiba na porojo za aina hiyo. Kama kuna vituo vilikuwepo, kwanini wasiseme kuwa kwenye hivyo vituo 234 kuna ambayo vilikuwepo lakini wakaweka vifaa tiba, au kuongeza majengo?
 
Anaendelea kusema; "hatuwezi kuwa vitani, halafu tukiwa mstari wa mbele, anajitokeza mmoja wetu na kuanza kuwashambulia askari wetu, huyu tuta deal nae; bora unyamaze kimya, au ukalale".
Hiyo mbona hujaifafanua kinagaubaga mkuu..?
 
Ni panick kwa sababu ipi Mzee? Ujenzi unaweza kuwa extension,ukarabati au structure mpya..

Mda unajulikana ni kuanzia July 2021 na kuendelea ndipo hayo yalifanyika na yanaendelea kufanyika..

Walishasema mara nyingi,vifaa tiba vinanunuliwa bajeti ya mwaka huu..

Nimekwambia hivi kiujumla vituo vipya ni 252 na vya tozo ni 234 wewe elewa hivyo..Hii rekodi haijawahi weka na awamu yeyete hapo kabla..

Tozo ndio zinafanya Tarura kujenga maelfu ya barabara Nchi nzima,tozo ndio zinafanya tunaanza kuona maji ya Bomba Vijijini via Ruwasa ,tozo ndio zinaleta mapinduzi sekta ya Afya na tozo pia zimewapa mikopo wanafunzi wa Elimu ya Juu..

Naishauri Serikali iwe na mfuko maalumu wa pesa ya tozo Kwa ajili malengo mahsusi badala ya kuingia mfuko mkuu wa serikali..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220910-081150.png
    103 KB · Views: 3
Mbona Putin na obama na bush wapo
 
Safi sana wasaliti hawatakiwi kuwa hai
 

Nimecheka kwa nguvu, kila awamu ikiingia madarakani inasema yenyewe ndiyo imeweka rekodi. Kipindi cha Magufuli alisema amejenga vituo vya afya 357 nchi nzima, wapambe wa awamu ile kama ww wa awamu hii, wakawa wanaongea kwa sauti kuwa ni vingi kuliko vyote vilivyojengwa kabla ya uhuru. Sasa ww umesahau propaganda za juzi tu, unasema hivi 234 ndio vimeweka rekodi kuliko awamu yoyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…