IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

Masuala yote ya mikutano ya vyama vya siasa yamo ndani ya Katiba ya nchi , Hahitaji KIKI wala Muongozo kutoka Ikulu , unatakiwa uwe mjinga sana kuamini kwamba jambo hili limeletwa na Rais
 
Rais amekuwa sheria mama. Katiba ni sheria mtoto. Legacy ya mwenda zake italitesa taifa kwa kitambo kidogo.
 
Swadaktaaa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Zamani nilikua najua watu wanaovaa miwani wana akili sana ila baada ya kumuona Chief Hangaya na kupitia CV yake nikajua hamna kitu na hatutoboi kwenye chochote.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…