IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini


Hiyo chadema wavuruga amani hujatenda haqi!
Imeandikwa
[emoji1370][emoji1370]
Mathayo 7
1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

2 Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

3 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

4 Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?

5 Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
 
Msajili tena, na siyo katiba [emoji848]
 
Kwa kauli ile kakosea ila kumuita Rais fool unakosea sana mtaalamu. Jaribu kutumia lugha ya busara pale unapowasilisha hoja zako…
Uko sahihi mkuu, hata kama Rais kakosea vp huwezi kumuita hivyo maana yeye anawakilisha Watanzania wote. Ukimtukana maana yake umetukana watanzania wote. Japo kwa sasa Samia simkubali kabisa
 
Angalia aina za watu kama huyu ndo waje wapewe nchi si matatizo hana hata haiba na diction of words....pitiful
Umenikumbisha yule aliyesema "Rudi na mavi yako nyumbani"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
acheni kutisha watu wanapotoa maoni,kwani uongo?
Kanuni na miongozo si vipo Sasa hapo wanataka Nini Tena au ndio umungumtu kama ilivyo ada ya watawala wa Afrika kuishi Kwa matamko na kuvunja katiba?
Shame!
Acha kusapoti Uovu
 
Acha kusapoti Uovu
hahahhahaah kweli nyani haoni kundule yaani Leo mnatuona waovu wakati Chama chenu kimejaa majambazi,mafisadi papa na mauaji na hakuna hatua zilizochikuliwa Kwa kulindana utanambia Nini nikuelewe?
😁😁😁
 
hahahhahaah kweli nyani haoni kundule yaani Leo mnatuona waovu wakati Chama chenu kimejaa majambazi,mafisadi papa na mauaji na hakuna hatua zilizochikuliwa Kwa kulindana utanambia Nini nikuelewe?
😁😁😁
Usicheke,Ustawi wa Tanzania unamuhitaji kila mmoja,
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…