Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Habari hizi sio za kupuuza wala kuamini, muda pekee utatoa majibu, hatuwezi kufichwa siku zote na hatuwezi kuongopewa siku zote.
Ninamsubiria (RAFIKI YANGU aitwaye Muda) aje na ukweli
Ndiyo anaumwa ila hajafa.Mimi nilisema yupo Dar.
 
La muhimu yu mzima.
Mungu amlinde. Lipo la kujifunza.
 
Ningekuwa mimi ndo yeye ,ningefuta hiyo page twitter.
 
Kama Wewe Ni Shabiki Wa Man Utd Na Ulikuwa Upande Wa Kigogo, Jishike Kifua Na Useme Leo Napigwa Home And Away.
 
Kama TBC haipo live basi hili ni igizo jingine,mzee wa font page hawezi apisha mtu gizani
Kama Wewe Ni Shabiki Wa Man Utd Na Ulikuwa Upande Wa Kigogo, Jishike Kifua Na Useme Leo Napigwa Home And Away.
 
Mkuu hakuna cha kujifunza zaidi ya kakikundi kadogo ka kihuni ambacho hata nyie mnakishabikia huku hamjui yaliyo nyuma ya pazia.
Nionyeshe mahali nilipokashabikia hako kakikundi unakokasema.
 
Wanajifanya wao wana upendo kumbe mioyoni mwao wamejaa chuki na wanakosa namna ya kufanya ili wafurahi zaidi!

Waliokuwa wanafurahia rais wetu kuugua na wengine walienda mbali zaidi kusema he is no longer...., maana yake wanamuombea mabaya na tunatakiwa kuwa makini nao sana maana wanaweza hata kushiriki kufanya hujuma ili kufanikisha nia zao ovu!

Tumshukuru Mungu kwa yote maana imetuwezesha kujuana mawazo yetu kwa nchi yetu na rais wetu!

Siku Mungu akiamua atamchukua lakini si kama watakavyo wao au tutakavyo sisi! Tuombeane kheri!

Mungu wetu aendelee kumlinda mpendwa wetu haijalishi tofauti zetu za kiitikadi! Tunampenda na bado tunamhitaji!
 
Kama Wewe Ni Shabiki Wa Man Utd Na Ulikuwa Upande Wa Kigogo, Jishike Kifua Na Useme Leo Napigwa Home And Away.
 
Hahahahaaaaaaaa... Kwa mara ya kwanza nasikia Ikulu ikipiga nyimbo za VIJEMBE - Hauwezi kushindana!
Mbona zinapigwa mara nyingi tu sema tu kwa leo tukio lilikuwa live tofauti na hotuba iliyorekodiwa na kuhaririwa au wewe kuiondoa/forward kwenye hotuba/tukio kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…